deni la nje

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Luhaga Mpina: Taifa limebakiza 4.6% tu kufikia Ukomo elekezi wa Deni la nje. Kauli ya 'Deni letu ni himilivu' karibu inapotea

    Uhimilivu wa Deni la nje kulinganisha na Pato la Taifa umefikia Asilimia 35.4% Kati ya 40% , hivo kubakisha 4.6% tu kufikia Ukomo Elekezi !! Kile kiswahili Cha kwamba, Deni letu linahimilika ,sasa kinaenda kufikia Ukomo.
  2. Orodha ya mikopo iliyokopwa awamu ya sita tangu Rais Samia Suluhu aingie madarakani March 19, 2021

    Serikali ya Tanzania imekuwa ikichukua mikopo tangu enzi katika kutimiza majukumu yake ya kimaendeleo na kila siku. Deni la Taifa limekuwa likikua huku Serikali ya awamu ya sita ikilifikisha trilioni 91 kwa miaka 3 iliyokuwa madarakani kutoka trilioni 60 iliyoachwa na Serikali ya awamu ya tano...
  3. Benki ya AfDB yaidhinisha Mkopo wa Tsh. Bilioni 165.6 kwaajili ya kusaidia Benki ya Kilimo Tanzania (TADB)

    Mkopo huo umeidhinishwa na Bodi ya Wakurugenzi ya Benki ya Maendeleo Afrika (AfDB) kwaajili ya kuiongezea uwezo Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB). Kwa mujibu taarifa ya AfDB, Benki ya TADB itapokea nyongeza ya Tsh. Bilioni 3 kwaajili ya kuwezesha awamu ya pili ya Mpango wa Kusaidia...
  4. Zaidi ya Shilingi Bilioni 600 kujenga upya Hospitali ya Muhimbili, Mkopo utalipwa baada ya miaka 25

    Muhimbili Mpya Inaenda Kuzaliwa,Zaidi ya Bilioni 600 Kutumika,hii ni Bonge la Mradi yaani Sawa na Kujenga Majengo Nusu ya Majengo Yote ya Wizara Pale Dodoma. --- Uongozi wa Hospitali ya Muhimbili (MNH) Dar es Salaam umesema hospitali hiyo itabomolewa na kujengwa upya. Mkurugenzi Mtendaji wa...
  5. Uingereza Yaipa Zanzibar Mkopo wa Sh.Tilioni 1 Kujenga Uwanja wa Ndege Pemba

    Wadanganyika mnaitwa huku 🤪🤪 --- Serikali ya Zanzibar na Uingereza zimesaini makubaliano ya mkopo wa bei nafuu wa Euro 400 milioni sawa na Sh1.04 trilioni kwa ajili ya ujenzi wa Uwanja wa ndege wa kimataifa wa Pemba na zaidi ya kilometa 103 Unguja na Pemba. Fedha hizo ambazo ni mkopo nafuu...
  6. StanChart Bank Yaipatia Tanzania Mkopo Nafuu wa Shilingi Bilioni 1.4 Kwa Ajili ya Sgr Lot 3 & 4

    Bank ya Standard Chartered imeipatia Tanzania Mkopo Nafuu wa Shilingi Bilioni 1.4 Kwa Ajili ya ujenzi wa mradi wa reli ya Sgr kwenye lot 3 na 4.. ======= The Tanzania government has received a grant of 1.4bn/- (approximately $ 596,406) from International Standard Chartered Bank Ltd which will...
  7. Spika Ndugai kakosea lakini pia hajakosea

    Katika hili suala la Job naona alichokosea ni nadharia ya mambo ya kitaalamu (uchumi na mikopo) ambayo kama mkuu wa mhimili alipaswa apate ushauri wa wataalam kabla hajatoa maoni yake public, lakini hajakosea kupishana na Rais kwa kuwa tu wanavaa wote kijani. Zile habari za "fikra za mkiti...
  8. J

    Mkopo hauwi deni hadi unapoiva na kushindwa kulipika. Magufuli hajaacha madeni, ameacha miradi mikubwa. Tukishindwa kulipa ni sisi, si yeye!

    Vitu vingine ni rahisi tu, Mkopo hauwi deni hadi pale utakapoiva na labda kushindwa kulipika. Mikopo ya Magufuli iliitwa fedha za ndani kwa sababu ilikwenda direct kwenye miradi ambayo upembuzi yakinifu uliofanywa na wakopeshaji ulionyesha italipika ndani ya muda wa mkataba. Kwahiyo tembeeni...
  9. M

    Balile: Magufuli katutenda, deni la nje lafikia shilingi Trillion 78

    Magufuli katutenda deni la taifa, trilioni 78 Samia msalabani Jamhuri October 26, 2021 Na Deodatus Balile Kazi hii ya uandishi wa habari moja ya majukumu yake ni kuanika ukweli minong’ono inapotawala katika jamii. Kwa sasa kuna minong’ono mingi. Minong’ono imeanza baada ya Rais Samia Suluhu...
  10. J

    Tanzania yakopa Benki ya Dunia tsh 2.7 trilioni kwa ajili ya Elimu, Barabara na Mawasiliano!

    Benki ya Dunia imeikopesha Tanzania jumla ya tsh 2.7 trilioni kwa ajili ya sekta za Elimu, Barabara Mawasiliano na uchumi jumuishi. ---- Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imepokea mkopo wa masharti nafuu wenye thamani ya shilingi trilioni 2.7 kutoka Benki ya Dunia (WB). Waziri wa Fedha na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…