Wakuu,
Gavana wa Benki kuu ya Tanzania (BOT) Emmanuel Tutuba akiwa anazungumza kwenye mahojiano maalum na mwandishi wa BBC Florian Kaijage amekiri kuwa deni la taifa hilo linazidi kukua ila bado lipo chini ya ukomo wa uwiano wa deni la taifa na pato la taifa unaokubalika kimataifa wa asilimia...
Serikali ya Tanzania imekuwa ikichukua mikopo tangu enzi katika kutimiza majukumu yake ya kimaendeleo na kila siku. Deni la Taifa limekuwa likikua huku Serikali ya awamu ya sita ikilifikisha trilioni 91 kwa miaka 3 iliyokuwa madarakani kutoka trilioni 60 iliyoachwa na Serikali ya awamu ya tano...
awamu ya sita
denila nje
denila serikali
denilataifadenilataifahimilivudenilataifa kukua
denilataifa tanzania
denila zanzibar
mikopo
rais samia
rais samia suluhu
samia suluhu
zanzibar
Kwa mujibu wa taarifa ya VoA, Azam na Citizen TV ni Kwamba nchi ya Zambia ndio imeelemewa zaidi na madeni wakiwa kundi Moja na Zimbabwe, Congo, Kenya na Msumbiji
Tanzania tuko ukanda Salama Kwamba madeni yetu Yako ndani ya Uwezo kuyalipa
Malawi, Nigeria na Senegal ni walipaji wazuri wa madeni...
Akisoma taarifa ya Hali ya Uchumi wa Nchi kwa mwaka 2023/24 na matarajio ya 2024/25 Waziri wa Mipango na Uwekezaji Prof. Kitila Mkumbo amesema, hadi mwezi machine deni la Serikali limefikia takribani Shilingi Trilioni 91.7. Deni hilo linajumuiaha deni la ndani na deni la nje.
Amesema ongezeko...
Mkopo huo umeidhinishwa na Bodi ya Wakurugenzi ya Benki ya Maendeleo Afrika (AfDB) kwaajili ya kuiongezea uwezo Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB).
Kwa mujibu taarifa ya AfDB, Benki ya TADB itapokea nyongeza ya Tsh. Bilioni 3 kwaajili ya kuwezesha awamu ya pili ya Mpango wa Kusaidia...
Benki ya Dunia imeipatia Tanzania mkopo wa Dola za Marekani milioni 300 za Marekani, sawa na zaidi ya Sh700 bilioni kwa ajili ya kuchochea uzalishaji na kuimarisha sekta ya kilimo kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi.
Mkopo huo uliotolewa chini ya programu ya matokeo (PforR) ambayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.