deni la taifa kukua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Sababu ya deni la Taifa kukua kwa haraka sana miaka ya hivi karibuni

    Architect wa ukuaji wa haraka sana wa deni la Taifa mpaka navyoongea ni hayati John pombe Magufuli- alianzisha miradi mikubwa kama ya reli, na kununua ndege kwa kisingizio ni fedha zetu na sio mkopo ilihali ilikuwa ni mikopo
  2. JamiiForums Tanzania Orodha ya mikopo iliyokopwa awamu ya sita tangu Rais Samia Suluhu aingie madarakani March 19, 2021

    Serikali ya Tanzania imekuwa ikichukua mikopo tangu enzi katika kutimiza majukumu yake ya kimaendeleo na kila siku. Deni la Taifa limekuwa likikua huku Serikali ya awamu ya sita ikilifikisha trilioni 91 kwa miaka 3 iliyokuwa madarakani kutoka trilioni 60 iliyoachwa na Serikali ya awamu ya tano...
  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia amechafuka kipindi cha majaribio. Je, tumpe tena mitano au asipewe fomu?

    Miaka ya majaribio madini na bahari mapori vyote vimeuzwa kwasasa Tanzania ina deni la trilioni 91 hii maana yake ni kwamba kwa Watanzania milion 60 kila mmoja anadaiwa Tsh 1,500,000/=. Kwanza hapo ulipo hiyo pesa unayo? Kwangu mimi naona chawa wapunguze mihemko mama ana kila sababu ya...
  4. JamiiForums Tanzania Benki ya Dunia imetoa Mkopo wa zaidi ya Shilingi Bilioni 700 Kwenye Kilimo

    Benki ya Dunia imeipatia Tanzania mkopo wa Dola za Marekani milioni 300 za Marekani, sawa na zaidi ya Sh700 bilioni kwa ajili ya kuchochea uzalishaji na kuimarisha sekta ya kilimo kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi. Mkopo huo uliotolewa chini ya programu ya matokeo (PforR) ambayo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…