Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limeiomba Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam kuiondoa Mahakamani kesi ya Madai Namba 14708 ya 2024 iliyofunguliwa na Kocha Liston Katabazi ambaye anaidai fidia ya Shilingi 700,000,000 kutokana na TFF kuchapisha taarifa ya kufungiwa maisha...