Moja kati ya viongozi matata wa madhehebu ya Kikristo anayeitwa Mzee wa upako aliwahi kuyasema haya mwaka mmoja uliopita.
Viongozi wetu ambao wako kwenye nafasi ya kutuamulia "kesho yetu", wanapaswa kufuata ushauri wa Mchungaji Mzee wa upako.
Wasifanye maamuzi kwa kuongozwa na utashi wao tu...