Dental surgery is any of a number of medical procedures that involve artificially modifying dentition; in other words, surgery of the teeth, gums and jaw bones.
Wakuu kwema
Ni muda vijana wanaomaliza form six pcb na 1.3 hadi 1.6 kuwaza kusomea udaktari wa upasuaji wa kinywa na meno (dds) au Radiology (udaktari wa mionzi) kwani itachukua muda mrefu sana kozi hizi kujaa watu mitaani au mahospitalini
DDS kwa mfano , katika post iliyopita ya uhitaji wa...
Hello Wana JF,
Mshikaji wangu anapitia wakati mgumu akiwaza kozi ipi asome.
Amehitimu kidato cha sita mwaka huu PCB na ana division one ya pointi 6 yaani BBB.
Ipo wazi Muhimbili MD hapati lakini huko ameomba Dental Surgery. Zaidi ameomba Medical Doctor (MD) UDSM. Na vipi pote akubaliwe kozi...
Job Title: Doctor Of Dental Surgery (3)
Duty Station: Dodoma
Job Description
The incumbent will diagnose and treat diseases, injuries, and malformations of teeth and gums. S/he will treat diseases of nerve, pulp, and other dental tissues affecting oral hygiene and retention of teeth.
May fit...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.