Ni muda sasa tangu polisi waseme wanawatafuta walotaka kumteka Bonge.
Pamoja na sura zao kuonekana na zaidi kutambuliwa kwa majina hadi leo hakuna kinachoendelea sii kwa polisi au Bonge nae kimya.
Polisi njooni tuambie kinaendelea nini
Pia, soma: Dar: Inasemekana tukio hili la utekaji...
Wakuu,
Baada ya tukio la jaribio la kumteka mfanyabiashara Deogratius Tarimo, maarufu kama Deo Bonge, lililotokea eneo la Kiluvya hivi karibuni, picha za watuhumiwa zilisambaa na kuibua mjadala mtandaoni. Mmoja wa watuhumiwa alidaiwa kuwa msaidizi wa Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson, hali...
Wakuu,
Kama mnavyokumbuka wakuu tukio la Deo Bonge lilitrend mtandaoni majuzi, huku tukio hilo likiwa limetoka Novemba 11, kama ambavyo taarifa ya polisi ilieleza.
Ayo TV walikwenda chap kwa kuanza kumhoji mmiliki wa hoteli, ambaye alitujuza yeye ndio alimugiza mfanyakazi mwingine aende...
Wakuu,
Millard kafanya mahojiano na bonge kueleza kwa undani kilkchotokea. Tunamjua Millard🌚🌚... mnasemaje wakuu?
Wazee wa kusoma kuread between the lines na kuangalia body language, ukiangalia maswali ya Ayo TV na majibu ya Bonge, unapata conclusion gani?
Naomba pia ujikumbushe kwenye uzi...
Kwema Wakuu!
Nimeona clip ya Mwanaume mmoja àmbaye alikuwa anatekwa Mchana kweupe pee, mbele za Umma.
Ikitokea upo katika Hali kama hiyo. Fanya utakachofanya, pigana utakavyopigana, jitahidi kadiri uwezavyo lakini Kamwe usiruhusu wakuchukue ukiwa mzima.
Ni ufe au wakuue mbele za halaiki...
Tukio la kukamatwa kwa Deogratius Tarimo lililotokea katika eneo la Kiluvya linaonekana wazi kabisa kuwa alikuwa ana kamatwa na watu ambao walijitambulisha kuwa ni Askari, hakuwa anatekwa.
Mwenye akili hawezi kusema kuwa eti alikuwa anatekwa! Utekaji hauwezi kufanyika vile.
Waliomkamata...
Wakuu,
Naona hii kesi ya mfanyabiashara aliyekuwa almanusura atekwe na "watu wasiojulikana" (Deo Bonge) huko Kiluvya imeanza kuchukua sura mpya.
Akiwa na vyombo vya habari hivi karibuni mmiliki wa hoteli ambayo Deo alikuwa anajaribu kutekwa amesema kuwa watekaji hao walirudi tena usiku kwa...
Mwenyekiti wa UVCCM Mohammed Kawaida kupitia mtandao wa Instagram akijibu post ya Twaha Mwaipaya ambaye alichapisha video iliyorekodiwa katika eneo la Kiluvya Madukani jijini Dar es salaam ambapo inaonesha tukio la utekaji ambalo halikufanikiwa, Kawaida amesema
"Hii ni movie kama movie nyengine...
Salaam, Shalom!
Wakati umma wa watz ukilaumu watu waliokuwa wakiangalia tukio lile la ndugu bonge akijaribu kutekwa na wasiojulikana,wenye pingu na silaha za moto.
Kwa jicho la Umakini, yupo shujaa aliyetumia vizuri simu yake na kurekodi tukio Zima tena sauti zikisikika kabisa, hii Ina maana...
Wakuu,
Baada ya video kutoka ndio tunajuzwa tukio lilitokea juzi! Bila video kuja kitaa wananchi tujakua lililotokea uchunguzi ungefanyika kweli au ndio lingeisha kimyakimya, pengine na kaka wa watu kwenda kuchukuliwa tena mara hii wakiwa wamwjipanga?
Halafu mbona wanaremba maneno hivyo "watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.