deo bonge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    Wako wapi walotaka kumteka Deogratius Tarimo (Deo Bonge)?

    Ni muda sasa tangu polisi waseme wanawatafuta walotaka kumteka Bonge. Pamoja na sura zao kuonekana na zaidi kutambuliwa kwa majina hadi leo hakuna kinachoendelea sii kwa polisi au Bonge nae kimya. Polisi njooni tuambie kinaendelea nini Pia, soma: Dar: Inasemekana tukio hili la utekaji...
  2. Sakata la mfanyabiashara Deo Bonge kutekwa, Spika Tulia afunguka "Sio Msaidizi Wangu"

    Wakuu, Baada ya tukio la jaribio la kumteka mfanyabiashara Deogratius Tarimo, maarufu kama Deo Bonge, lililotokea eneo la Kiluvya hivi karibuni, picha za watuhumiwa zilisambaa na kuibua mjadala mtandaoni. Mmoja wa watuhumiwa alidaiwa kuwa msaidizi wa Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson, hali...
  3. Jeshi la Polisi limetajwa zaidi ya mara 10 kwenye mahojiano ya Ayo na Deo Bonge. Message gani ilikuwa inatumwa kwa Watanzania?

    Wakuu, Kama mnavyokumbuka wakuu tukio la Deo Bonge lilitrend mtandaoni majuzi, huku tukio hilo likiwa limetoka Novemba 11, kama ambavyo taarifa ya polisi ilieleza. Ayo TV walikwenda chap kwa kuanza kumhoji mmiliki wa hoteli, ambaye alitujuza yeye ndio alimugiza mfanyakazi mwingine aende...
  4. Kwa mahojiano haya ya Deo Bonge na Ayo, atakuwa 'amefinywa'? Asema aachwe apumzike, analiamini Jeshi la Polisi kufanya kazi yake

    Wakuu, Millard kafanya mahojiano na bonge kueleza kwa undani kilkchotokea. Tunamjua Millard🌚🌚... mnasemaje wakuu? Wazee wa kusoma kuread between the lines na kuangalia body language, ukiangalia maswali ya Ayo TV na majibu ya Bonge, unapata conclusion gani? Naomba pia ujikumbushe kwenye uzi...
  5. Wanapokuja kukukamata bila utaratibu (kukuteka) ni bora wakuue mbele za watu kuliko wakuchukue, wakutese na wakuue mafichoni

    Kwema Wakuu! Nimeona clip ya Mwanaume mmoja àmbaye alikuwa anatekwa Mchana kweupe pee, mbele za Umma. Ikitokea upo katika Hali kama hiyo. Fanya utakachofanya, pigana utakavyopigana, jitahidi kadiri uwezavyo lakini Kamwe usiruhusu wakuchukue ukiwa mzima. Ni ufe au wakuue mbele za halaiki...
  6. Z

    Tuache upotoshaji; Deo Bonge alikuwa anakamatwa sio kutekwa

    Tukio la kukamatwa kwa Deogratius Tarimo lililotokea katika eneo la Kiluvya linaonekana wazi kabisa kuwa alikuwa ana kamatwa na watu ambao walijitambulisha kuwa ni Askari, hakuwa anatekwa. Mwenye akili hawezi kusema kuwa eti alikuwa anatekwa! Utekaji hauwezi kufanyika vile. Waliomkamata...
  7. Baada ya kushindwa kumteka Deo Bonge mchana, watekaji walirudi kumtafuta tena usiku

    Wakuu, Naona hii kesi ya mfanyabiashara aliyekuwa almanusura atekwe na "watu wasiojulikana" (Deo Bonge) huko Kiluvya imeanza kuchukua sura mpya. Akiwa na vyombo vya habari hivi karibuni mmiliki wa hoteli ambayo Deo alikuwa anajaribu kutekwa amesema kuwa watekaji hao walirudi tena usiku kwa...
  8. Kufuatia video inayohusu tukio la utekaji Mohammed Kawaida asema ni movie kama movie zingine zenye lengo la kupata huruma kwa wananchi

    Mwenyekiti wa UVCCM Mohammed Kawaida kupitia mtandao wa Instagram akijibu post ya Twaha Mwaipaya ambaye alichapisha video iliyorekodiwa katika eneo la Kiluvya Madukani jijini Dar es salaam ambapo inaonesha tukio la utekaji ambalo halikufanikiwa, Kawaida amesema "Hii ni movie kama movie nyengine...
  9. R

    Aliyerekodi tukio jaribio la kumteka Deogratius Tarimo (Deo Bonge) apewe maua yake

    Salaam, Shalom! Wakati umma wa watz ukilaumu watu waliokuwa wakiangalia tukio lile la ndugu bonge akijaribu kutekwa na wasiojulikana,wenye pingu na silaha za moto. Kwa jicho la Umakini, yupo shujaa aliyetumia vizuri simu yake na kurekodi tukio Zima tena sauti zikisikika kabisa, hii Ina maana...
  10. Polisi watoa tamko tukio la jaribio la utekaji Kiluvya, wasema uchunguzi umeanza toka aliporipoti Novemba 11, 2024

    Wakuu, Baada ya video kutoka ndio tunajuzwa tukio lilitokea juzi! Bila video kuja kitaa wananchi tujakua lililotokea uchunguzi ungefanyika kweli au ndio lingeisha kimyakimya, pengine na kaka wa watu kwenda kuchukuliwa tena mara hii wakiwa wamwjipanga? Halafu mbona wanaremba maneno hivyo "watu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…