Deo Haule Filikunjombe (4 March 1972 – 15 October 2015) was a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Ludewa constituency from 2010 to 2015.He died on 15 October 2015 in a helicopter crash.
Huyu Jerry Silaa ni Deo Filikunjombe mtupu, Mungu wa Mbinguni azidi kumpa Ujasiri atatufaa CCM 2030 Kwenye Urais!
Huyu jamaa ukimtazama haraka haraka unaweza kumchukulia poa Ila spiritual na kiuzalendo yuko vizuri kuliko Mawaziri wote nadhani.
Mungu wa Mbinguni azidi kumpa Ujasiri. 😂
Sabato...
Wanabodi,
Preamble!
Kifo chochote kinapotokea, tumekuwa na tabia ya kujifariji kuwa kila kifo kimepangwa na Mungu, na kilikuwa kitokee tuu hivyo hivyo kilivyotokea, na ile siku binadamu ameumbwa, maisha yake yote yaliisha pangwa, hadi saa yake ya kufa, na atakufa kifo gani, hivyo hiyo saa ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.