Jeshi la Polisi Mkoani Mwanza limemkamata Deogratius Kisandu ambaye ni mwalimu wa Shule ya Sekondari Mkolani kwa makosa ya kutumia vibaya mitandao ya kijamii kwa kuandika matusi.
Mtuhumiwa huyo anadaiwa kutumia ukurasa wake wa Facebook kuandika matusi kwa takribani wiki nzima.
Week kadhaa sasa nmekuwa nikisoma post za kijana mmoja anaitwa Deogratius Kisandu. Nimekuwa nikisoma kwa umakini na kwa kina kila anachoandika.
Nimegundua ana tatizo kubwa sana kisaikolojia na kiakili. Sisemi hajasoma au si msomi, hapana hilo sijasema ila inawezekana amepatwa na msongo wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.