Wakuu,
Hii kesi inavyoenda kimyakimya kuna jambo!
====
Kesi ya waliojaribu kumteka Tarimo ilisikilizwa Februari 26, ambapo Tarimo alipata nafasi ya kutoa ushahidi wake na kueleza upande wake jinsi hali ilivyokuwa.
Kesi hiyo iliahirishwa mpaka Machi 17.
Pia soma: Waliojaribu kumteka...
Wakuu,
Hii kesi naona mauzauza, inaenda kama haiendi inakuja kama haiji. Yaani wanafanya kusudi kabisa ili iishie juu kwa juu. Ngoja tuone nini kitajiri hiyo kesho wakati CHADEMA wakiuamua mbivu na mbichi.
=====
Kwa mara nyingine tena Mahakama ya Hakimu Mkazi Kivukoni, iliyopo Kinondoni...
Watuhumiwa sita wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni Kituo Jumuishi cha Utoaji Haki leo December 06,2024, wakituhumiwa kutaka kumteka Mfanyabiashara Deogratius Tarimo katika eneo la Kiluvya Wilayani Ubungo Jijini Dar es salaam.
Waliofikishwa Mahakamani ni Bato Bahati Tweve...
Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es salaam linaendelea na operasheni maalum kali ya kuzuia vitendo vya kihalifu maeneo mbalimbali ya jiji la Dar es salaam. Kwa ujumla hali ya usalama Dar es Salaam inaendelea vizuri.
Pia soma: Watuhumiwa waliotaka kumteka Deogratius Tarimo (Deo Bonge) wafikishwa...
Ni muda sasa tangu polisi waseme wanawatafuta walotaka kumteka Bonge.
Pamoja na sura zao kuonekana na zaidi kutambuliwa kwa majina hadi leo hakuna kinachoendelea sii kwa polisi au Bonge nae kimya.
Polisi njooni tuambie kinaendelea nini
Pia, soma: Dar: Inasemekana tukio hili la utekaji...
Wakuu,
Millard kafanya mahojiano na bonge kueleza kwa undani kilkchotokea. Tunamjua Millard🌚🌚... mnasemaje wakuu?
Wazee wa kusoma kuread between the lines na kuangalia body language, ukiangalia maswali ya Ayo TV na majibu ya Bonge, unapata conclusion gani?
Naomba pia ujikumbushe kwenye uzi...
Itashamgaza kama bado wakati sura zao zimeshafahamika!
1. Wameshakamatwa?
2. Wako wapi?
3. Watakamatwa?
4. Polisi wanahitaji usaidizi wowote?
PIA SOMA
- Dar: Inasemekana tukio hili la utekaji limetokea Kiluvya, kutokana na uzito wa jamaa walishindwa kumchukua. Hakuna aliyetoka kumsaidia
Kwema Wakuu!
Nimeona clip ya Mwanaume mmoja àmbaye alikuwa anatekwa Mchana kweupe pee, mbele za Umma.
Ikitokea upo katika Hali kama hiyo. Fanya utakachofanya, pigana utakavyopigana, jitahidi kadiri uwezavyo lakini Kamwe usiruhusu wakuchukue ukiwa mzima.
Ni ufe au wakuue mbele za halaiki...
Kutoka Mtandao wa X (Twitter)
1. Huyo jamaa tall mwenye aliyevaa raba na shati la mistari amepiga JKT Orjoro mwaka 2008 (Operation Kilimo kwanza)
Alifahamika pale jkt kwa jina la NYANG'AU na alikuwa kombania B (B Coy)
Mwaka 2009 akaajiriwa na jeshi la polisi na urefu wake ndio uliombeba...
Salaam, Shalom!
Wakati umma wa watz ukilaumu watu waliokuwa wakiangalia tukio lile la ndugu bonge akijaribu kutekwa na wasiojulikana,wenye pingu na silaha za moto.
Kwa jicho la Umakini, yupo shujaa aliyetumia vizuri simu yake na kurekodi tukio Zima tena sauti zikisikika kabisa, hii Ina maana...
Tukio la kusikitisha sana limetokea Kiluvya Madukani -Dar ,katika Hotel ya Rovvenpec tar.11/Nov/2024. Ikionesha watu wakimteka Ndg. Deogratius Tarimo(Deo Bonge) na kumlazimisha kuingia kwenye gari.
Taarifa ya Polisi. Tanzania waliyoitoa leo tar. 13/Nov./2024 wanakiri kupokea taarifa ya tukio...
Wakuu,
Baada ya video kutoka ndio tunajuzwa tukio lilitokea juzi! Bila video kuja kitaa wananchi tujakua lililotokea uchunguzi ungefanyika kweli au ndio lingeisha kimyakimya, pengine na kaka wa watu kwenda kuchukuliwa tena mara hii wakiwa wamwjipanga?
Halafu mbona wanaremba maneno hivyo "watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.