dereva wa lori

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. F

    JamiiForums Tanzania Dereva wa lori auwawa na mlinzi wa puma petrol station Morogoro

    Leo asubuhi, dereva wa Lori alipaki Lori eneo hilo, na kwenda kusali msikiti uliopo katika kituo hiko, aliporudi mlinzi alimfata na kumwambia ampe 15000 kama gharam ya parking, wakabishana kwa muda, kutokana na gari zingine kua azikueza kupaki vizur anamwambia ngoja nipaki vizuri, alipo panda...
  2. JamiiForums Tanzania Kwa hili Tukio lililotokea Bahi Dodoma baina ya Trafiki na Dereva wa Lori nani alaumiwe zaidi japo Wote kimantiki wana Makosa?

    Ila Dereva wa Lori inaonekana kama vile hana cha kupoteza na ameshaamua liwalo na liwe Wakongo (akina Bandeko Nangai) wanasema Azomata Azomate..... Kudadadeki.
  3. JamiiForums Tanzania Tabora: Dereva wa lori la kuchanganyia mchanga afariki dunia

    Dereva wa gari kubwa ya kuchanganyia zege yenye namba za usajili T. 414 BPD ambaye jina lake halijafahamika kwa haraka, amefariki dunia, huku watu wengine watatu wakijeruhiwa katika ajali iliyohusisha lori hilo na gari ndogo lenye namba za usajili T. 531 ANP. Ajali hiyo imetokea katika mtaa wa...
  4. JamiiForums Tanzania Watanzania tumefikia hatua ya kuwa Wanyama, roho mbaya kiasi cha kufikia kurecord tu Mtanzania mwenzetu anauwawa na Wapita njia?

    Alibaba maisha zaidi ya Watanzania 60, je ni kweli tulichoweza kumsaidia Mtanzania mwenzetu akiuwawa na Watu ambao sio Watanzania ni kurecord video? Unauma saaana, inatafakarisha saaana, Hivi hiki kitengo hiki kinafanyika Kenya au Rwanda ingekuwaje? Anyway itoshe kusema Wanaume wote mlio...
  5. JamiiForums Tanzania Kisa cha Marehemu Sauli na Dereva wa lori kilichotokea mwaka 2020

    Ukitaja kufanikiwa kibiashara jitofautishe na wenzako kwa kufanya tofauti lakini bora Mabasi ya Sauli yalijitifautisha kwa kutopoteza muda kizembe barabarani ....TIME MANAGEMENT !!! Solomon Sauli hatunaye amefariki ajalini na ameshazikwa kijijini kwao. Mwamba hakufa kizembe,wake watatu na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…