RC Arusha amedai Dreva wake alikuwa akitumia gari la RC kutapeli watu apewe pesa. Lakini hakuna Sehemu alimtaja kwa jina na wala sijawahi kusikia muhusika akifikishwa mahakamani. Waliotapeliwa nao pia wameendelea kukaa kimya maana yake walikubali kutapeliwa au na wao walikuwa Chawa wasioweza...
Nimeona clip ikisambaa mitandaoni inayomwonyesha aliyewahi kuwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam mheshimiwa Paul Makonda akimtuhumu mmoja wa aliyewahi kuwa msaidizi wake kuwa alikua akichukua gari na kwenda kupora kwenye biashara za watu. Kwa kuwa uporaji ni jinai na jinai haifi ni wakati muafaka...
Jana kwenye nyama choma aliyoandaa kwa Wakuu wa Mashirika Mjini Arusha, anasema alipokuwa RC Dar, wakati yeye yupo amepumzika ndani, Dereva wake alikuwa anakuja kuchukua gari kisha kuweka namba za RC Dar na bendera kisha kwenda kwa matajiri kuomba/ kuchukua fedha kwa jina lake.
My Take:
Huyu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.