Mazingira ya sakata la dereva wa gari la serikali, landcruiser mkonga, kumtishia dereva wa basi la SATCO mjini Dodoma , liemegubikwa na sintofahamu nyingi.
Ni hivi:
1. Gari hilo ni dark tinted kama kawaida ya magari ya wasiojulikana.
2. Hiyo bastola ambayo inasemekana feki haijulikani kama...