dereva

  1. Dereva taxi na Bajaji mtandaoni natafuta kazi

    Habari, naitwa omary ni dereva timamu,sina usumbufu kwenye mali ya mtu uwaminifu 100%.naweza kuendesha gari na Bajaji kwa boss yeyote mwenye uhitaji katika chombo kimoja wapo tajwa hapo juu iwe ya hesabu au mkataba pia iwe ya gesi au petrol tuwasiliane 0654037276.Nina uzoefu wa miaka 2 katika...
  2. S

    Msaada juu ya kuwa dereva wa Bolt/Uber

    Ninategemea kuwepo dsm kwa miezi mitatu , nina miliki Gari ndogo Toyota Wish sasa issue inayonileta mjini ni masaa 8 per day kuanzia saa 9 nakua free na weekends nakuwa free sasa nawaza huo niwe napiga kazi ya uber/bolt kuingiza chochote kitu. Sasa sijui taratibu zake za kujiunga zinakuaje na...
  3. DRIVER-Transport officer available (V.i.P grade ||)

    Habari ndugu na jamaa, naitwa Abduly mtenya natafuta kazi ya udereva ni mzoefi wa miaka 6, na sifa zote za udereva 99%… 📲whatsapp number & calls for more information +255659972797 asanteni👏
  4. DOKEZO Dereva Mtanzania anashikiliwa Sudan Kusini baada ya kugonga mtu, inadaiwa Polisi wagoma kumuachia wanataka hela

    Kuna Mtanzania mwenzetu anaitwa Juma Ally Maganga ambaye ni dereva wa magari makubwa, inadaiwa anashikiliwa na Watu ambao wanadai wao ni Askari Polisi Nchini Sudan Kusini, sababu ya kumshika ni kwamba wanamtuhumua amemgonga mtu na kusababisha kifo wakati alipokuwa katika safari zake akipita...
  5. Mwenye gari na anahitaji dereva wa kukodi kwa trip.

    Kama kuna mtu anahitaji dereva wa kukodi kwa trip au safari basi naomba anijulishe..ni udereva wa muda trip tu naamnisha ukiwa umechoka au unahitaji kuenda sehemu yoyote ila unahitaji kusaidiwa katika kuendesha gari basi unaweza kunitaarifu. MUHIMU. Ninafanya part time jobs za udereva malipo ni...
  6. Arusha mashuhuda wasimulia dereva na konda walivyotekwa stendi mchana kweupe

  7. Natafuta dereva Uber/Bolt

    Natafuta dereva mzoefu wa bolt/ uber Awe Dar es salaam Mzoefu na awe na account ya bolt/uber Nicheck inbox
  8. M

    Dereva wa roli anatafuta kazi , yupo dar

    Habari wakuu. Mimi ni dereva wa Magari makubwa Kama Scania ,Faw .n.k Nimekuja hapa kutafuta Ajira au Kazi Kwa wamiliki wa maroli . Nipo na uzoefu wa kutosha wa jumla miaka 8 Namba yangu ya simu ni +255 749 515 178
  9. Ila hapa Wenje jamaa yetu lakini alikosea. Alimnyima Dereva wake hata Million 1? Hata mimi ngeacha kazi

    Hayo yamesemwa jana CH. Dereva wa Wenje alikasirika na kuamua kuacha kazi baada ya kuona Boss wake hana utu. Yaani lile fuko ambalo alikabidhiwa na Abdul alishindwa hata kuchomoa milion 1 akampa dereva? Lissu alileta mapozi. Akazikataa pesa. Ukisusa wenzio wanakula. Hata mimi ngekuwa Wenje na...
  10. L

    Dereva Bolt natafuta kazi

    Heri ya mwaka mpya, kwa majina Naitwa Christian naishi Dar es Salaam, Niko apa kuomba mwenye ajira ya dereva bolt iwe Mkataba au hesabu. Leseni yangu iko clean na pia nitakuja na barua ya mwenyekiti nan passport kwa ajili ya usalama wa mwajiri. Namba zangu za mawasiliano 0698568933. Heri ya...
  11. Diploma ya IT, Dereva, Graphic Designer, Data Officer(Entry)

    Nina Ordinary Diploma ya Information Technology nina Ujuzi sehem zifuatazo :- 1. Graphics Designing and Printing 2. Data Entry 3. Class D license ya Magari (Manual na Automatic transmission) 4. Sales and Marketing, kuongoza Team ya Marketing NB: Ninafundishika Kama ni kazi mpya na mifumo mipya...
  12. 💤Mashuhuda Wanasema Dereva wa Prado [Mkurugenzi] ni kama alilala akaifata TATA..

    Mkuu wa wilaya ya Same anasema madereva waongeze umakini hasa kipindi hiki cha sikukuu na anaendelea kusema madereva huwa wanajisahau wakiwa barabarani.. NI kama anataka kumpiga Mkurugenzi mawe ila Anaogopa asije haribu, shuhuda mwingine anasema madereva hawana umakini hasa wakiwa ni ukoo wa...
  13. G

    Arusha: Dereva wa pikipiki aliyekaripiwa kwa kumkosa mtoto apandwa hasira na kuwaita wenzake kuivamia sherehe kwa mapanga

    taharuki imetoka katika mtaa wa ngusero kata ya osunyai mkoani arusha baada ya vijana zaidi ya tisa wenye mapanga kudaiwa kuvamia sherehe ya ubarikio uliokuwa ukifanyika na kumkata mkono na sikio baba wa mtoto aliyekuwa akifanyiwa ubarikio. Inadaiwa chanzo cha tukio ni dereva wa pikipiki...
  14. Sina usharika na Joseph Mbilinyi, ila ngoma yake ya Wanakuita Sugu, naweza kumwambia dereva aireplay hiyo ngoma Dar to Dodoma na siichoki

    I love that song badly, but I am completely not accepting the style of Joseph Mbilinyi unreached politics, specifically in mbeya town constituency. Alistahili kuwa mbali zaidi, lakini pia more powerful politician zaidi ya Lisu na Mbowe kwenye siasa za Chadema na ndani ya Tanzania kwa ujumla...
  15. Gari la mwendokasi la express, dereva kusimamia kila kituo kisa watu wanaomba msaada inakera sana

    Kuna hii hali mtu unapaanda gari mwendo kasi una haraka zako unakuta gari ya express unaamini itakusaidia kuwahi unapoenda basi abiria wanasogea kwa dereva kuomba msaada vituo vyo ambavyo havipo kwenye utaratibu wa express. Tanzania bado sana aiseee Hivi pale Dubai upande metro uende kwa dereva...
  16. Dereva wa Taxi Mtandao natafuta kazi. Nina uzoefu wa miaka minne

    Habari za kazi, Natafuta gari ya kufanyia tax mtandao(Uber & Bolt), nina uzoefu wa kuendesha tax mtandao zaidi ya miaka minne, naishi kongowe mzinga kilwa road, nipo tayari kufanya kazi kwa bidii na maarifa. Mawasiliano 0769235120
  17. Dereva Uber / Bolt natafuta boss mwenye gari tufanye biashara

    Habari, mimi ni kijana mzoefu katika biashara ya tax mtandaoni na nina account active natafuta boss mwenye gari tufanye biashara asante. Mawasiliano yang: 0713458555 Mdullanicholous@yahoo.com
  18. Kariakoo: Dereva amtolea panga mwenzake wakigombea njia

    Watu wanahasira sana, yani jamaa kaamua kumtolea panga mwezie kisa kaingilia njia isiyokuwa yake! ================ Katika hali isiyokuwa ya kawaida madereva wawili eneo la Kariakoo mtaa wa Sikukuu, jijini Dar es Salaam, wamejikuta katika mzozo mkali wakigombea njia, huku mmoja kati yao akichukua...
  19. Developing Story: Magomeni, Gari Toyota Landcruiser Hard Top No. DFP 8106 Yagonga na Kuua Mwanamke. Gari yadakwa, Dereva Asepeshwa na Polisi!

    Wanabodi This is a developing story Yaani story muendelezo Jana jioni katika eneo la Magomeni Usalama, Gari Toyota Landcruiser Hard Top No. DFP 8106 Yagonga mtu na kumua kwa ajali, mwanamke mmoja. Mwanzo gari na dereva wake walidakwa na kuhifadhiwa kituo cha polisi cha Magomeni Polisi. Leo...
  20. D

    Dereva anahitajika Hotelini

    Dereva anahitajika kuendesha gari daraja la CAu D umri miaka 40 mpaka 50 itafaa kubeba wageni kupeleka airport. 0754290084
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…