dereva

  1. Ajali ilyoua RAS wa Kilimanjaro na Dereva wake: Kwanini serikali inamlilia RAS tu je Dereva hakuwa mtumishi wake?

    Toka ajali iliyosababisha vifo vya Katibu Tawala - RAS wa mkoa wa Kilimanjaro na Dereva wake tumeshuhudia ubaguzi mkubwa unaoganywa na serikali kwenye misiba hii. Tumeshuhudia na tunaendelea kushuhudia serikali nzima ikiomboleza na kutumia nguvu kubwa kushughulika na Kifo cha RAS ikimpamba kwa...
  2. M

    Dereva anahitajika Dar es Salaam, malipo ni makubaliano

    Habari za leo, kuna rafiki yangu anahitaji dereva atakayekuwa analipwa kwa siku,au kwa week, maana ana mgeni wake ambaye anakuja week ijayo, hivyo anatakiwa awe anamuendesha, root ni za hapa hapa dar es salaam, ikizidi sana Bagamoyo. Dereva awe flexible yani kufanya kazi asubuhi, muda mwingine...
  3. Dereva bajaj

    Habari zenu wakubwa ni kijana wenu hapa naomba msaada kwa yoyote anaehitaji dereva wa bajaj kwa mkataba nipo hapa
  4. Driver class II at Mbulu District Council

    POST DRIVER CLASS II – 1 POST EMPLOYER Mbulu District Council APPLICATION TIMELINE: 2024-05-27 to 2024-06-10 JOB SUMMARY NIL DUTIES AND RESPONSIBILITIES Checking the vehicle before and after the trip to determine the vehicle’s safety condition; Sending employees to different places on...
  5. Ajali ya mabasi kutokana na kutokujali kwa dereva? Teknolojia barabarani ni suluhisho pekee

    Habarini Wanajamvi wenzangu, Gharama kubwa watanzania wanazolipa kila uchwao juu ya ajali za barabarani inaleta maswali lukuki. Pamoja na jitihafa za Jeshi la Polisi, bado kuna haja ya kama Taifa tukubali kufanya mageuzi makubwa katika matumizi ya teknolojia katika jeshi hili. Takwimu...
  6. L

    Mimi ni dereva wa tax mtandao yaan Bolt au Uber

    Mimi ni dereva wa tax mtandao naishi kinondoni naitaji gari ya mkataba ninauzoefu wa udereva miaka saba Kwa mawasiliano 0677938003 0658755355
  7. Ajabu sana: Dereva wa basi ahatarisha maisha ya watu 60 kwa kuikwepa bajaj yenye watu watano

    #HABARI Abiria waliokuwa wakisafiri kutoka Dar es salaam kwenda Dodoma kwa kutumia basi la Kampuni ya Shabiby namba T 341 EEU, wamenusurika kifo baada ya basi hilo kuanguka katika eneo la Kihonda Manispaa ya Morogoro na kujeruhi abiria kadhaa. Kwa mujibu wa mashuhuda wa ajali hiyo wanasema...
  8. K

    Dereva pikipiki afariki baada ya kugonga Bundi Tanga

    Dereva pikipiki ya Afisa mifugo Wilaya ya Handeni Mkoani Tanga, Abel Adamson Mwaipopo (25) amefariki Dunia baada kumgonga Bundi na Kisha pikipiki take kupoteza muelekeo na kuanguka na hatinaye kupoteza maisha.
  9. Huyu Dereva wa Gari la Toyota Landcruiser Hardtop Nyeupe lenye Plate Number ya T216 DHH ya Tundu Lissu uthubutu wa Kuitumia kautoa wapi?

    Yaani mwenye Gari kapigwa risasi ambazo zilitaka Kumuua halafu bila hata huruma bado kuna Mtu sijui kwa Jeuri yake au Jeuri anayopewa kaona haitoshi akaamua kabisa kwenda na Kung'oa Plate Number ya Gari la Tundu Lissu ya T216 DHH na kuamua Kuitumia kama yake Dodoma hadi kuwa na Deni ya Kuegesha...
  10. Handeni: Dereva wa Bodaboda agonga bundi na kufariki

    Afisa mifugo wilayani Handeni mkoani Tanga (Jina lake bado halijafahamika) amefariki dunia baada ya kumgonga ndege aina ya Bundi na pikipiki aliyokuwa akiendesha yenye namba za usajili STM 0232 . Ajali hiyo imetokea asubuhi ya leo Ijumaa, Mei 17 2024 eneo la Sindeni, Handeni jirani na kona ya...
  11. Konda na dereva wa daladala kuwa wachafu na rafu kazini kwao

    Kuanzia sare zao za kazi yaani, shati na suruali. kwanza ni vichafu, lakini pia ni vichakavu na sielewagi vinachakaaga kwa kazi gani au kuvaliwa wapi zaidi ya humo humo kwenye daladala 🐒 Sawa, kazi ni kazi ilia angalau wawe wanaoga, wawe wanasafisha midomo, walau kunyoa ndevu na kua nadhifu...
  12. Taxi mtandaoni dereva

    Habari wana jamii, poleni kwa majukumu ya hapa na pale. Mim kijana wenu nimerudi tena baada ya matatizo ya kiafya na mshukuru mwenyezi Mungu kwa kunipa afya nyingine Kijana wenu nimekuja kwenu natafuta gari ya kwajili ya kufanya biashara ya tax mtandaoni. Natumain ombi langu nitapatikana...
  13. Dereva daraja la II halmashauri ya wilaya ya Itigi

    POST DEREVA DARAJA II - 1 POST EMPLOYER Halmashauri ya Wilaya ya Itigi, APPLICATION TIMELINE: 2024-04-15 2024-04-28 JOB SUMMARY NIL DUTIES AND RESPONSIBILITIES Kukagua gari kabla na baada ya safari ili kubaini hali ya usalama wa gari; Kuwapeleka watumishi maeneo mbalimbali kwenye...
  14. Gari nzuri na dereva kutoka Dar mpaka ifakara

    Habari Tarehe 4 April Nina safari ya kwenda Ifakara na mgeni wangu. Tunaenda ifakara,kutembelea baadhi ya project tunalala na kesho yake kurudi. Nahitaji usafiri 4 wheel,dereva mzoefu na bei ya kwenda na kurudi jumla. Tutakua watatu au wawili. Mwenye kuweza nicheki Dm au comment nikucheki.
  15. Dereva natafuta ajira.

    Naitwa james patrick..nina miaka 29,elimu yangu ni form four pia kwa sasa naishi kunduchi..natafuta kazi ya udereva wa magari makubwa na madogo ambayo nina uzoefu nayo kwa muda wa miaka 12 sasa..nipo tayal kwa udereva wa aina yoyote ile ndani na nje ya mkoa wa dar..kwa mwenye kuhitaji dereva...
  16. DART kuchukua hatua dhidi ya Dereva na Wasimamizi wa Mwendokasi waliowapeleka Abiria Morocco badala ya Kimara

    Muda mfupi baada ya Member wa JamiiForums.com kusimulia tukio la Dereva wa Basi la Mwendokasi aliyetakiwa kuwapeleka Abiria Kimara kutoka Kivukoni, badala yake akawapeleka Kituo cha Morocco kisha kuwaacha hapo, jana Machi 26, 2024, mamlaka husika inatarajiwa kuchukua hatua. Mtendaji Mkuu wa...
  17. KERO Abiria wa Mwendokasi tuliotakiwa kutoka Kivukoni kwenda Kimara, Dereva katupeleka Morocco kisha akaturudisha Kivukoni

    Jana Machi 26, 2024 nikiwa kwenye Kituo cha Mwendokasi cha Kivukoni, kulikuwa na nyomi la hatari mida ya jioni, mabasi mengi yalikuwa yamepaki pembeni na machache yaliyokuja hayakukidhi haja ya huduma iliyotakiwa kutolewa. Watu walikuwa wengi na wengine wakionekana wanataka kuwahi kwenda kupata...
  18. Uhamiaji: Dereva na V8 Iliyobeba wahamiaji Haramu 20 wa Ethiopia Isihusishwe na CCM

    Baada ya Dereva Mtanzania Edward Erihard (31) Mkazi wa Dodoma kukamatwa akiwa amebeba Wahamiaji 20 Raia wa Ethiopia katika gari aina ya Land Cruiser V8 likiwa na bendera ya Chama cha Mapinduzi CCM katika eneo la Minjingu mkononi Manyara, Kamishna Msaidizi wa Uhamiaji Mkoani Manyara Philon...
  19. Wachambuzi wetu wanachumbua dereva wa bodaboda apigwe na dereva wa fuso

    Nimeshuhudia dereva wa lori akichomolewa na kupigwa na dereva wa bodaboda baada ya dereva wa lori kumsukumia mtaroni dereva wa bodaboda. Sio kwamba timu ikiwekeza sana lazima mara zote iifunge timu yenye uwekezaji mdogo. Wachambuzi wetu wanazilazimisha Al-Ahly na Mamelodi izifunge Simba na...
  20. Dereva wa Magari ya Watalii, Omari Msamo adaiwa kuuawa na askari wa jeshi la Polisi

    Mwananchi mwenzetu na aliyekuwa dereva wa magari ya watalii, Omari Msamo ameuawa na askari wa Jeshi la Polisi, Wilaya ya Karatu Mkoa wa Arusha. Omari Msamo ameuawa baada ya kusimamishwa na kushushiwa kipigo kizito kilichopelekea kutoa uhai wake na polisi wa usalama barabarani baada kutuhumiwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…