derrick afariki dunia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Erythrocyte

    TANZIA Derrick Magoma wa Chadema Afariki Dunia

    Taarifa ya Chadema inayosambaa Mitandaoni inaeleza Kwamba, Derrick amefikwa na Umauti kwenye Hospitali ya Taifa Muhimbili, haikutajwa sababu ya kifo hicho. Kwa Vile kufanya kazi ya Chadema ni kufanya kazi ya Mungu basi hatuna Mashaka na Mahali ambako Roho ya Derrick itapelekwa.
Back
Top Bottom