Baada ya Mawakili wa Diddy kupinga uamuzi wa Mahakama ya Michigan kutoa uamuzi wa Diddy kumlipa Cardelo Smith $100 m kwa abuse aliyesema kufanyiwa na Diddy
Katika appeal ya Diddy, Hakimu amekubaliana na maelezo ya kuwa Mshitakiwa hakuwasilisha hati ya mashitaka kwa Mtuhumiwa Diddy.
Soma Pia...