derrick magoma

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tundu Lissu awasili Manyara kushiriki Msiba wa Derrick Magoma

    Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu ni miongoni mwa waombolezaji walioingia Mkoani Manyara kuomboleza Msiba wa Mwenyekiti wa zamani wa Mkoa huo, Derrick Magoma. Taarifa iliyosambazwa na chama chake Duniani kote hii hapa. Mungu Ibariki Chadema
  2. TANZIA Derrick Magoma wa Chadema Afariki Dunia

    Taarifa ya Chadema inayosambaa Mitandaoni inaeleza Kwamba, Derrick amefikwa na Umauti kwenye Hospitali ya Taifa Muhimbili, haikutajwa sababu ya kifo hicho. Kwa Vile kufanya kazi ya Chadema ni kufanya kazi ya Mungu basi hatuna Mashaka na Mahali ambako Roho ya Derrick itapelekwa.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…