Msimamo huo umetangazwa Wilayani Sengerema na Mjumbe wa Kamati Kuu, John Heche kwa maelezo kuwa suala hilo ni Haki yao Kikatiba.
Heche amesema “Ndani ya mwezi mmoja ujao tutatangaza ratiba na kuanza mikutano ya hadhara, mwaka 2022 hautaisha bila CHADEMA kufanya mikutano ya hadhara ambayo ni...