desire

  1. K

    Kweli pesa hazitoshi. The more you get the more desire

    Wakuu nimekubali baadhi yetu hatuwezi kuridhika 100% kwa tunachokipata. Kuna kipindi nilitamani sana kama ningekuwa japokuwa na ka-take home ka 800k na baada ya kufanikiwa kupata nikaona hapa bado sana.Sasa hivi nina 1.6m kama take home na bado naona nahitaji kupata zaidi.Yaani najiona choka...
  2. Chachu Ombara

    NADHARIA Joseph Kabila siyo mtoto halisi wa Hayati Laurent Desire Kabila, na ana asili ya Rwanda

    Rais Mstaafu Joseph Kabila inasemekana hakuwa mtoto halisi(Biological Son) wa Rais Mstaafu Joseph Desire Kabila. Inasemekana jina halisi la Joseph Kabila ni Hypolite Kanambe Kazemberembe akiwa na asili ya Kitusi kutoka nchi ya Rwanda. Pamoja na machapisho mengi kumtambua Joseph Kabila kama...
  3. Teslarati

    Every woman has 'SUBCONSCIOUS' desire to be dominated, as a man you should use it

    I'll keep this short... as short as a lunch break 'quickie' with that slim sexy secretary nextdoor. Iko hivi, mwanamke yoyote yule hapa duniani ana tamani kuwa 'dominated' mara kadhaa au mara zote (kwenye sexi). Hata wale feminists wanaopinga, wao pia hawawezi kushindana na hii saikolojia yao...
  4. Ramsy Dalai Lama

    Short story: Hamu + Desire

    Nakumbuka nikiwa mdogo jinsi nilivyotamani kuishi kwenye nyumba ya kifahari kama ambazo walikua wakiishi rafiki zangu ambao walikua watoto wa matajiri na wengi walikua waarabu..Baba zao walikua wenye company za ASAS, F.M Abri, Estate Co, OilCom, Temeke Bakery na wengineo ikiwemo na baadhi ya...
Back
Top Bottom