desturi za kitanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Utaratibu wangu wa namna ya kupiga mswaki ni usafi au mtazamo tu?

    Kati ya vitu vilivyonisumbua, hasa miaka ya nyuma nilipokuwa nikienda ugenini vijijini, ni suala la kuswaki kwa kutumia maji yaliyowekwa kwenye beseni/ndoo ya kuogea. Tokea nikiwa mdogo, nilishajizoesha kuwa maji ya kwenye ndoo ya kuogea "hayafai" kuswakia. Lakini kama wasemavyo, "msafiri...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…