desturi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kurejesha Mila na Desturi za Tanzania Katika Karne ya Digitali

    Je, Tunaweza Kuweka Utamaduni Wetu hai
  2. Wana CCM wapewe nafasi ya kuwania kiti cha Urais kisha Kura zipigwe. Kile kilichofanyika ni dhulma

    Mpo Salama! Wapo watu walitaka na wanatamani kuwa sehemu ya watakaotumia Haki Yao ya kikatiba kuwania Tiketi ya Urais kwa Njia ya CCM. Hata kama Wana CCM hao ni wawili au Mmoja. Wanahaki ya kufanya hivyo. Watu wote waungwana, watu wote wenye AKILI, watu wote wenye kupenda haki, watu wote wenye...
  3. Je unazungumziaje desturi ya kurudi nyumbani(mkoani) kukusanyika mwisho wa mwaka

    Kuna huu utaratibu wa kila mwaka watu tunarudi vijijini kukusanyika na ndugu na jamaa je ni utamaduni mzuri maana kwasasa maisha yanabadilika kuna wengine kipindi hicho ndio kipindi cha kukaa na familia zao mapumziko maeneo ya kisasa
  4. Tupunguze desturi ya kuongelea maisha ya watu

    Muda mwingi niko home kuna mafundi wanaendelea na ujenzi tangu july nimegundua kitu Hawa jamaa ni wanaume lakini wanavyongelea maisha ya watu wananishangaza Muda mwingine niko ndani hawajui kama niko ni mwendo wa umbeya. hadi mimi humo ndani najadiliwa Kidogo watamix na story za mpira ila...
  5. Mambo yamebadilika sana, tusipokuwa makini yatabadili kabisa tamaduni zetu za kiafrika

    Jamani, hapo kabla sikuwahi kusikia haya mambo. Na kama yalikuwepo basi ni wachache sana. Ila kwa sasa hata ndugu zangu akina muraa, nao wanamezwa na mabadiliko. Mwanaume kumtegemea zaidi mwanamke atafute kipato cha kulisha familia, kwa sasa imekuwa kawaida kabisa Mtoto wa kiume kukaa nyumbani...
  6. Q

    Rais Samia awataka Wazanzibari kutunza Mila na Desturi zao. Wamaasai hawahusiki?

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametoa wito kwa jamii zinazoishi maeneo yenye vivutio vya Utalii, kuendeleza mila na desturi za maeneo hayo ili kulinda heshima ya mila hizo na kuendelea kuvutia utalii. Rais Samia ametoa wito huo leo, wakati akifunga mafunzo ya...
  7. Waafrika, kumbukeni Mila na Desturi zetu

    Waafrika wa leo wamekuwa dhaifu kiasi cha kushukuru na kuthamini viumbe wa mawinguni, ambao hawajawahi hata kuwaona, bali wamesikia tu kupitia watu wengine. Wengi wa watu hao ni wakoloni, wazungu na waarabu, ambao walileta imani hizi. Kondoo wa dini wanapata shida kubwa wanapoulizwa maswali...
  8. Waafrika, Kumbukeni Mila na Desturi Zetu

    Waafrika wa leo wamekuwa dhaifu kiasi cha kushukuru na kuthamini viumbe wa mawinguni, ambao hawajawahi hata kuwaona, bali wamesikia tu kupitia watu wengine. Wengi wa watu hao ni wakoloni, wazungu na waarabu, ambao walileta imani hizi. Kondoo wa dini wanapata shida kubwa wanapoulizwa maswali...
  9. Waislamu wasiotaka kuendana na mila na desturi za bara Uropa wahamie kwingine, asema waziri wa Ujerumani

    Mnakimbia mataifa yenu, mnagoma kukimbilia mataifa ya waislamu na kuchagua kwenda bara Uropa kule ambako mnazaliana, ila mnataka hao huko Uropa wabadilishe mila na desturi zao ziendane na matambiko yenu......mumeagizwa mtafute kuhamia kwingine. ======================== Muslim refugees heading...
  10. Wakinga wameamua kupambana, maneno yameanza kama ilivyo desturi ya Waswahili

    Miaka ya hivi karibu jamii ya Wakinga ni kama imeamua kuwa serious kupambana na umaskini. Those guys are true hustlers wenye umoja wa ndugu jamaa na marafiki. Unfortunately maneno yamenza mara uchawi mara kafara yaani blah blah kibao. Ukweli mchungu jamii nyingi za Tanzania zamani zilikuwa...
  11. Kuna makabila yana mila na desturi ngumu sana

    Kabila la Hamer na desturi ngumu Kabila la hamer linalopatikana kusini mwa nchi ya Ethiopia ndilo kabila linalosifika kudumisha mila na desturi ya kuthibitisha uwezo wa mwanamke kuvumilia magumu kwenye ndoa! Inasemekana mwanaume kabla hajatoa mahari inabidi ampime mwanamke anayetaka kumuoa...
  12. Demokrasia ni zao la mila na desturi ya kuvumiliana, subra na ushupavu

    Ili kuishi comfortably kwenye mazingira ya kidemokrasia, ni sharti uwe mwenye uelewa na ufahamu wa kutosha kuhusu maana halisi ya demokrasia yenyewe. Zaidi sana yafaa, ufanye mazoezi ya mara kwa mara na ya kutosha, ya kushinda ama kushindwa si tu uchaguzi pekeyake, bali pia hata yale yenye...
  13. L

    Mikutano miwili ya China yaendeleza desturi za uwakilishi na utulivu

    Kipindi cha mikutano miwili ya China, yaani mkutano wa Bunge la Umma la China na mkutano wa Baraza la Mashauriano ya Kisiasa la China iliyomalizika hivi karibuni, ni kipindi muhimu zaidi kisiasa kwa China, kwani katika kipindi hili, kwanza demokrasia ya China huwa inapimwa na kukaguliwa, na pili...
  14. G

    Kukosa desturi ya kuandika Urithi na Wosia na kutowajulisha/husisha watoto kwenye biashara/mali unazomiliki kumesababisha matatizo mengi

    Mtu ni magonjwa na kashafika 60 cha ajabu hajaandaa Wosia wowote wala kuandika Urithi, anaacha kivumbi na kutoelewana pindi akifa. Mtu hawajulishi watoto wake kwamba ana mali fulani, matokeo yake kuna wapangaji wanaweza kujimilikisha nyumba ambazo hawajajenga, watu wanajimilikisha mashamba...
  15. B

    Fadhila zisipotoshe mila, utamaduni na desturi za Kiafrika

    Kumekuwa na kawaida ya kwenda kinyume na mila, utamaduni na desturi za kiafrika kunakotokana na harakati za kijamii miongoni mwetu. Ni jambo jema watu kusaidiana, hasa tunapopata matatizo na hatuna uwezo wa kukabiliana nayo kwa wakati huo, lakini hilo lisiende kinyume na maadili yetu. Baadhi...
  16. Hizi ni Nchi zinazotoa VISA bure, Wabongo tunafeli wapi kusongamana ughaibuni kama Wanaijeria

    Wabongo nyoso ni wananchi ambao hawana desturi ya kusafiri nje ya nchi. Wote tumesongamana hapa Nchini utafikiri watoto wanaosubiria nyumba ya urithi. Nchi zinazotoa VISA ya bure kwa Watanzania. https://www.instagram.com/p/CxC5PRyuwra/?igshid=MzRlODBiNWFlZA== Japokuwa Nchi yetu inashika...
  17. Taja mwiko, mila au desturi za kabila lenu au mahali ulipokulia

    Makabila yote hapa Afrika au nchi nyingine za Ulaya, Asia na Marekani, wanayo miiko, mila au desturi zilizozoeleka kiasi cha kurithiwa kutoka kizazi kimoja hadi kingine. Hapa Tanzania, kwa mfano, kuna mambo fulani ambayo ni mwiko kufanyika katika jamii na ikitokea mmoja wa wanajamii akaenda...
  18. Ni desturi kwa Waswahili kusuka nywele bila kujali jinsia zao, kwanini Zanzibar wanakataza wanaume kusuka?

    Nimesikia Zanzibar mwanaume ukikutwa umesuka nywele unapigwa faini. Wanadai ili kulinda maadili na utamaduni wa Mzanzibari. Lakini wakati huo huo utamaduni wa Mzanzibar, kama ulivyo kwa Waswahili wote ilikuwa ni ruhusa kwa mwanaume na mwanamke kusuka nywele. Naona hawa wanaodai kulinda utamaduni...
  19. Tabia ya kuomba hela (Kiholela) imekuwa desturi ya Watanzania wengi

    Hili ni tatizo na ni tabia inayonikera sana. Mtu usipost upo kiwanja flani utashangaa inaingia text "Mzee nisaidie elfu 10 hapo".. Sawa tunapaswa kusaidiana kwa shida na raha ila ukipata request za kuombwa hela na watu zaidi ya 6 kwa siku mbili tu lazima hata ule moyo wa kiutu unaisha...
  20. Unafiki unaoletwa kwenye Mambo ya Mila na Desturi

    UNAFIKI UNAOLETWA KWENYE MAMBO YA MILA NA DESTURI. Anaandika, Robert Heriel. Mtibeli. Kwa kweli wengine unafiki ulitupita pembeni. Leo nitauelezea unafiki uliopo katika jamii yetu unaosemwa Kwa Wakubwa na wadogo. Sitamung'unya maneno. Hivyo kama unajiona una Roho nyepesi ingefaa upuuzie andiko...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…