Godbless Lema amesema kuwa hana taarifa zozote kuhusu Soka, lakini hisia zake zinaonyesha kuwa Soka hayuko hai. Alisema:
"Sina taarifa zozote lakini hisia zangu zina nambia Deus Soka hayuko hai, ni bahati mbaya sana kuwa na hisia hizi, hakuna Serikali inaweza kumshikilia mtuhumiwa mtoto kama...
Simba wa Kizimkazi mh Tundu Antipas Lisu amepeleka kilio chake kwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Samia juu ya kutekwa na kupotea kwa kijana Deus Soka
Makamu Mwenyekiti huyo wa CHADEMA ametoa kilio chake ukurasani X
Ahsanteni Sana 🐼
======
Rais Samia, kijana huyu anaitwa Deus Soka...
Wanaharakati wa haki za binadamu na wanachama wa CHADEMA wamekuwa wakipaza sauti kupitia X kijana wao Deusdedith Soka kuchukuliwa na wanaosemekana na polisi na mpaka sasa hajulikani alipo.
Vijana wengine kutoka CHADEMA ambao ambao hawajulikani walipo baada ya sekeseke la maandamano ya BAVICHA...
habari hiyo ni kwa mujibu wa Tweeter ukimnukuu Dr. Slaa
TAARIFA!! TAARIFA!! TAARIFA!!
Taarifa niliyoisikia toka kwa Dr. SLAA (amesema akiwa public) ni kwamba amepewa taarifa na watu wema kuwa AMRI imetolewa ya Ndg. SOKA kuuawa usiku wa leo (kabla ya saa 8) kwenye moja ya misitu nje kidogo ya...
Vijana waandamana jijini Dar es Salaam Tanzania kupinga mkataba wa bandari kati ya serikali na Dubai Ports World pamoja na muswada wa marekebisho ya sheria ya Usalama wa Taifa.
Vijana walioandamana jijini Dar es Salaam kupinga mkataba wa Bandari wamekamatwa eneo la Mnazi Moja.
========...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.