Ndugu rais.
Nakusabahi, hata hivyo nina swali kwako. Ni zaidi ya miezi sita sasa, kijana, mtanzania amepotea.
Umma wa Watanzania umepiga kelele kuhusu kupotea kwa kijana huyu lakini siyo ofisi yako wala wewe uliyeamua kulizungumzia suala hili.
Ndugu rais, ulipoapa kuwa rais uliapa kuwa amiri...
Vijana wa CHADEMA kutoka Kanda ya Kaskazini walijumuika kusherehekea Sikukuu ya Krismasi nyumbani kwa bibi yake Deusdedith Soka, huko Kibosho. Hafla hiyo pia iliadhimisha siku ya kuzaliwa ya Soka, ikileta furaha na mshikamano kati ya viongozi na wanachama wa chama hicho.
Pia, Soma: Mke wa...
Kijana Deus Soka umeipambania Chadema kwa jasho na damu. Mara kadhaa umekaa jela, umepigwa, umeumizwa umepitia madhila mengi ukiamini unapigania mabadiliko ya kweli.
Ulikuwa mstari wa mbele kuipigania katiba mpya tulikuona ukipigwa virungu na mateke ulipojitokeza na wenzio kumi maandamano ya...
Deusdedith Soka amepotea kimzaha mzaha. Miaka ya nyuma alitoweka Ben Saanane kama utani mpaka leo hatujawahi kumuona tena.
Je ndio washamalizana na Soka?
Pia soma
Soka yupo wapi? Tuambieni kama mmemficha au mmemuua tujue moja
Wakuu,
Nadhani wengi tumekutana na tulio lililotrend jana, video ya inayomuonesha 'Bonge' akipambana na watu waliokuja kumteka na kufanikiwa kuwazidi nguvu, wakimuachia zawadi ya pingu. Kama mpaka sasa hujakutana na tukio hilo basi pitia hapa.
Kutokana na taarifa ya polisi, Bonge ni...
Ben Saanane alikuwa mmoja wa wanaharakati wa kisiasa wenye sauti kali ndani ya CHADEMA, hususan akifahamika kwa msimamo wake wa kukosoa serikali ya wakati huo. Kabla ya kupotea, Ben alikuwa ameandika makala kadhaa na kutoa matamko ambayo yaliibua mjadala mkubwa, na baadhi ya kauli zake zilikuwa...
Bungeni umesikia kauli ya spika kuhusu hafahamu lolote wala hakuna utekaji kuwa hupo tanzania. hii kauli yake nayo inakuwa sawa na raisi kusema ni drama. huku jeshi la polisi matukio mengi ya utekaji wamekuwa wakikanusha au kupuuzia linapotokea.
Sasa matumbo joto huko wizara ya mambo ya ndani...
Jaji Wilson Dyansobera kutoka Mahakama kuu ya Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam amesema baada ya Mahakama kusikiliza hoja za pande zote mbili (2) na kupitia kwa makini kiapo cha mwombaji aitwaye Mohammed H. Zimu ambaye ni rafiki wa karibu wa Deusdedith Soka na wenzake wawili (2) imejiridhisha...
Ben Saanane alikuwa mmoja wa wanaharakati wa kisiasa wenye sauti kali ndani ya CHADEMA, hususan akifahamika kwa msimamo wake wa kukosoa serikali ya wakati huo. Kabla ya kupotea, Ben alikuwa ameandika makala kadhaa na kutoa matamko ambayo yaliibua mjadala mkubwa, na baadhi ya kauli zake zilikuwa...
Masjala ndogo ya Dar es Salaam kuhusu kesi iliyofunguliwa na Wakili Wakili Kisabo kuhusiana na madai ya kutoweka kwa mwanaharakati kijana Deusdedith Soka na wenzake wawili.
Soma Pia: Kutoweka kwa Soka na wenzake, IGP, DPP, OCCID Temeke kufikishwa Mahakamani kwa Hati ya dharura
Chanzo: Jambo TV
Agosti 5, 2024 - Mwanaharakati Deusdedith Soka, akizungumza kwa niaba ya vijana wa CHADEMA, ameeleza changamoto mbalimbali zinazowakabili vijana nchini Tanzania. Katika mkutano na waandishi wa habari, Soka ameonesha wasiwasi kuhusu ukosefu wa ajira kwa vijana, akisema kwamba licha ya vijana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.