Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Kanda ya Kati, Devotha Minja amesema ni sahihi kuweka utaratibu wa ukomo wa ubunge na udiwani wa viti maalumu.
Devotha aliyewahi kuwa mbunge wa viti maalumu amesema inapaswa kila baada ya muda fulani mwanamke ajengewe uwezo kwa kufikia...