Timu ya Singida Black Stars inatarajia kuzindua uwanja wake mkoani Singida, uzinduzi utafanyika Marchi 24 kwa mchezo wa Kirafiki dhidi ya Yanga SC.
Uwanja unaitwa AIRTEL STADIUM ambao wao ndio wameujenga kwa kushirikiana na wengine kama Azam, GSM, NBC, SBS na MO DEWJI.
Credit: Nassib Mkomwa
Inaelezwa Mfadhili wa klabu ya Simba, Mohammed Dewji, yupo tayari kutoa kiasi cha dola 300,000 za Kimarekani (sawa na shilingi milioni 785 za Kitanzania) endapo timu hiyo itaibuka na ushindi dhidi ya Yanga.
Taarifa kutoka kwa vyanzo vya kuaminika zinadai kuwa ahadi hiyo inalenga kuwahamasisha...
Mfadhili wa zamani wa Simba SC, Azim Dewji amesema haoni maana yoyote ya kosa la Ladack Chasambi katika mechi ya Fountain Gate lizue mjadala kwa sababu alishawahi kumtaja mchezaji wa Yanga Maxi Nzengeli kama mchezaji kioo chake.
Dewji amesema yeye pia anampenda Maxi Nzengeli na ndiye mchezaji...
Wadau Kwa wanaoona Kanye west ni chizi basi jifikirieni mara mbili, mana Kuna ukweli kwenye analolisema.
Kanye west anadai scammers wa crypto walimfuata na kumwambia apost kwenye x crypto yao ajifanye yake na aiache post Kwa masaa 8 na baada ya muda huo kupita aje aseme account yake...
Timu iko nafasi ya 5 sijui ya 6 kwa orodha za CAF, Orodha za dunia haikosi ya 100 bora
Kuna vitimu havijulikani hata CAF na hata ukilazimisha Rank zitaangukia 1000+
Ila ukisikia tambo zao mwezi mmoja kabla ya mechi unaogipa na unaweza kupata stroke.
Simba wao kimyaaa wanadai wanajenga timu...
Tajiri ametoa ofa ya kuwapeleka wana simba wote kutazama mechi yao ya mwisho kwenye TV screen kubwa huko Mwembe Yanga; Ingependeza sana angewapeleka Mwembe Simba
https://www.youtube.com/watch?v=s3hCZxEz0kE
Nimekutana na interview moja YT, billionaire Mo akifanyiwa na YouTuber (@AhmadMaamoud Show) ambapo Mo amesema alinunua Bugatti Chiron (hajataja model year) kwa $ Mil 4 lakini alivyoenda kuicheki akaogopa speed akaiuza na anasema akapata faida ya € 500,000.
Pesa aliyouza faida yake akanunua...
Kuna hiki kikundi wanajiita wanatoa mkopo kwa kupitia MO DEWJI Foundation na wanatumia nyaraka za Mo dewji kinyume na sheria na wana kila kitu hadi leseni za biashara na namba zao za mawasiliano ni hizi +255 780 525 780 tuwe makini na tuwaripoti iwezekanavyo___
MO DEWJI FOUNDATION ipo ndio...
Anonymous
Thread
dewji
foundation
loan
mikopo
mikopo online
mo dewji
online
Wadau wa Soka la Bongo, Mmesikia huko?
Fatema Dewji ambaye ni mdogo wa Mohammed 'Mo' Dewji, ameteuliwa kuwa mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Singida Black Stars.
Wapo Omary Kaaya, Athumani Kihamia, Hussein Nyika wote wamewahi kuitumikia Yanga na kufanya Klabu hiyo ya Walima Alizeti kuwa kama...
"
Tajiri Mohammed Dewji anaonekana kuwa mfanyabiashara mwenye bidii sana. Kazi yake ya kusimamia kampuni zaidi ya 40 inampelekea kuwa na ratiba inayohitaji uwiano na bidii. Asubuhi, anajitahidi kufanya ibada kabla ya kwenda kazini. Hata hivyo, siyo rahisi kwake kupata muda wa kuwa kitandani...
Mwekezaji wa Simba SC Mohammed Dewji (MO), amewaonesha Wapenzi na Mashabiki wa Simba ramani mpya ya Mo Simba Arena akisema huo ni mradi mkubwa ambao utaweka msingi wa mafanikio ya Club hiyo baadaye.
Akiongea leo October 06,2024 kwenye Mkutano Mkuu wa Club hiyo, Mo Dewji amesema "Hii ni ramani...
Rais wa klabu, Mohammed Dewji ametajwa na jarida la Face2Face Africa lenye makao makuu yake jijini New York, Marekani kuwa mmoja kati ya mabilionea wawili ambao wamesaidia kukuza biashara ya mpira wa miguu barani Afrika.
Kutajwa kwa Mo kumetokana uwekezaji na mafanikio ambayo Simba imeyapata...
Huyu mzee anajitahidi sana kutetea Serikali. Isimwache hivi hivi imwangalie kwa jicho la tatu anaweza kuwa msaada hapo mbeleni. Anajitahidi sana kuitetea Serikali.
Ni kumpa tu Elimu angalau sasa awe na maneno ya akili au ajue kujenga logic katika anachoongea.
Nimemkubali ana mapenzi sana na...
Mfanyabiashara mashuhuri Azim Dewji ametoa msimamo wa kamati ya maridhiano na amani kufuatia kutekwa na kuuwawa kwa kiongozi wa CHADEMA Mohammed Ali Kibao ambapo amesema, wanalaani vikali kitendo cha mauaji ya kiongozi huyo na wanaungana na Rais Samia Suluhu Hassan kuundwa kwa tume huru...
Nimetapeliwa na mtu aliyedai ni afisa mikopo wa Mo Dewji Foundation kwa kunilaghai nikope mikopo nafuu Kwa riba ndogo, ila nitoke dhamana ya asilimia 10. Nilitoa shs 35,000 na kulipa katika namba 0789 223 590 (Khatibu Khamis) na kuahidiwa kupewa mkopo wa shs laki 3, ndani ya muda mfupi.
Baada...
Baada ya uvumi wa muda mrefu kuwa Mo Dewji, rais wa Heshima na Mwenyekiti wa klabu ya Simba SC, Murtaza Mangungu haziivi hatimae washikana Mikono.
Soma Pia:
Mangungu amjibu Mo Dewji: Simba SC haiuzwi na haitauzwa kamwe
Baada ya kumjua kuwa kumbe Adui Mkubwa wa Simba SC ni Mwekezaji Mo Dewji...
Hizi propaganda zisizo na maana zenye malengo ya kuvuruga soka la Tanzania linapaswa kupingwa na kukemewa vikali. Hakuna mzee wa Yanga mwenye akili timamu, akatoa pesa mfukoni, maana kufungua na kuendesha kesi inahitaji nguvu ya mwili na pesa, Ukiachilia mbali mafanikio yaliyopatikana ndani ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.