Rais wa Simba ambaye pia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Simba, Mohammed Dewji amekutana na Bodi ya Ushauri na kufanya kikao cha pamoja. #WenyeNchi #NguvuMoja
Maelfu ya wakazi wa mji wa ifakara na walio nje ya mji leo tarehe 30/06/2024 wameanza kupokea tiba ya macho toka kwa madaktari bingwa wa macho ambao wameweka kambi hapa kwenye hospitali ya Mtakatifu Fransis.
Huduma zinazotolewa ni pamoja na dawa, miwani, upasuaji mdogo na ushauri.
Kambi hii...
Hongera Kwa METL kwa kufanikiwa kupata mkopo huo, ama kweli mwenye nacho ataongezewa... mkopo huo ni kutanua wigo wa biashara yake Afrika Mashariki , kwa usaidizi kutoka benki ya RMB.
Benki hiyo imefanya kazi kama security agent kutoka kwa wakopeshaji mbalimbali kuweza kufanikisha kupata dola...
Baadhi yetu tumepiga sana kelele kuonyesha kuwa tatizo kubwa la Simba ni ukosefu wa mfumo thabiti wa uongozi unaowezesha timu kuendeshwa kwa ukaribu na umakini. Simba haina management imara, bali management ipo kama jina tu ila haina watu na waliopo hawana meno ya kutenda majukumu yao. Chukulia...
MWENYEKITI wa Kampuni ya Mohammed Enterprises (T) Limited (METL), Ghulam Dewji amekana kampuni yake kuwa na uhusiano wa aina yoyote na Kampuni ya ITEL East Africa Limited.
Amesema masuala yanayohusu Kampuni ya ITEL East Africa Limited yasihusishwe na kampuni yake huku akionyesha wasiwasi...
Mo Dewji: Nitatoa taarifa kuhusu Wajumbe wa Bodi ya Simba Sports Club kutoka upande wa Mwekezaji, leo saa mbili na nusu usiku.
Unahisi jina gani halitokosekana?
=====
Kutoka kwa Ahmed Aliy Msemaji wa Simaba: Tajiri yupo kazini, Leo saa 2:30 Usiku anatoa taarifa kuhusu Uteuzi wa Wajumbe wa...
Nimepitia mchakato mzima ni jinsi gani Mo allimilikishwa hisa zake 49%,
Nimebaini Mo alilipia hisa zake zote,
Katika asilimia 51% zinazomilikiwa na wanachama ni asilimia 10% tu ndizo zilizolipiwa zinazobaki 41% hazijalipiwa.
Kampuni ya Mo Simba yenye 49% ndiyo inayoilea na kuirisha simba kwa...
Kama wewe ni mpenzi wa Fashion naimani utakuwa uliiona Miwani aliyoivaa MoDewji siku ambayo alikuwa anaongea na mashabiki wa Simba Sc kufuatia sintofahamu ya baadhi ya wajumbe kujiengua kwenye nafasi zao.
Miwani aliyoivaa Mo inaitwa Alexander Mcqueen AM0372S-001 ni custom made with Diamond...
Ni miwani aina ya Alexander Mcqueen AM0372S-001 ambayo ni custom made with Diamond plated. Bei yake ni Euro 243 ambazo ni sawa na pesa ya madafu Shilingi 688,920/=
Wa kwanza niteue mimi, nimeanza kushabikia, kushangilia na kuwa member wa Simba tangu mwaka 1989.Simba inamfunga Yanga bao 2 kwa 1 kwa bao la marehemu John Makelele zigzag huku beki Fred Felix Minziro Majeshi Baba Kataraia akimzaba makofi niko uwanjani, Simba anakosa ubingwa vs Stella niko...
Kama Wewe Mjomba Mtu uliweza Kutusaliti mwaka 1993 kiasi kwamba hadi Profesa Sarungi kila akikuona tu anakuita Azim Msaliti leo hii unapata wapi huu Uhalali wa Kutuasa wana Simba SC tumpe Ushirikiano na tumuamini Msaliti Mtoto Mohammed Dewji ambaye ni Mpwa wako.
GENTAMYCINE nikiwa na Ushahidi...
Mfadhili wa zamani wa Simba Azim Dewji amewatuliza mashabiki wa timu hiyo kuacha kuendelea kuwashurutisha viongozi wao kujiuzulu akisema hatua hiyo itaibomoa timu yao.
Dewji ameyasema hayo leo kufuatia malumbano ya uongozi yanayoendelea ndani ya klabu hiyo.
Amewashauri viongozi wa Simba...
Kwa sasa hali ya hewa ndani ya Simba sc haipo sawa baada yakuibuka madai tofautofauti juu ya Muwekezaji wao Mo Dewji kuidai Simba pesa zake ambazo alikuwa anazitoa nje ya mkataba wake wa uwekezaji wa Bilioni 20.
Hayo yalibainishwa Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba upande wa Wanachama CPA...
Video kutoka kwa Mohamed Dewji "MO"
Mwezi uliopita, tulizindua kampeni ya kuongeza ukusanyaji wa chupa za rangi. Tulikusanya tani 21 za chupa nyeusi kwa ajili ya kuchakata!
MeTL ni fahari kuwa mwanachama wa Petpro, shirika la wajibu wa ziada za wazalishaji wa chupa za PET kwa ajili ya...
🚨 MOHAMED DEWJI ATUA UGANDA.
Mfadhili Wa Simba sc na Tajiri namba 17 barani Afrika Mohammed Dewji Yuko mbioni kununua Hisa asilimia 51% katika Klabu ya Express FC ya nchini Uganda🇺🇬
Baada ya kuwekeza katika Klabu za Tanzania sasa ni rasmi Mohamed amedhamiria kuwekeza Uganda.
Express FC msimu...
Kihasibu Mo Dewji hana anachodaiwa Simba, Ana kila haki ya kuifanya Simba iwe mali yake, Hata kumpa 49 % bado ni ndogo ukilinganisha na jinsi alivyoisaidia Simba.
Licha ya kutumia kiasi cha bilioni 20 kununua umiliki wa timu timu kwa 49 %, bado anaendelea kujitoa mno, anatumia pesa zake...
Hakika Wewe Mhindi ni Mjanja sijapata kuona. Kwahiyo mwenyewe ulidhani Siri itafichwa sana na wenye Ubobezi wa kutafuta Taarifa Ngumu Ngumu na za Hatari akina GENTAMYCINE hatutoijua? Nina uhakika nikilisanua hapa kwa ulichokifanya leo hii hii Amani inatoweka Simba SC na hata Serikali itatukamata...
Ni tetesi sio habari ya uhakika
Wazee na viongozi wa simba wamemfuata dewji na kumuomba asiache timu sababu tokea amechukua simba imefuzu mara tano robo fainal katika mashindano yote ya CAF
Katika historia ya simba hawajawah kupata mafanikio kama ilivyo kipindi ikiwa chini ya tajiri wa kwanz...
Nimefanya kikao na viongozi wa Simba SC kujua changamoto zipo wapi na namna ya kuzitatua.
Kikao kimeenda vizuri.
NB: Kwenye hiki kikao sijamuona Mangungu na yeye ndio mwakilishi wa wanachama,sijui yeye hausiki kwenye maamuzi ya Club ila lawama ndio anabeba yeye.