Yaani ugomvi wako na Manara unataka wanasimba wote waununue?? Noooo nooo hii haikubaliki duniani hadi mbinguni, Acha maisha binafsi ya Wachezaji yawe huru, ilimradi hawavunji mikataba yao.
Mkataba wa Chama hausemi asimsifie Manara badala yake akusifie wewe, Izingatiwe kuwa Wachezaji ni waajiliwa...