Dalili ya Kazi za Kitapeli:
1. Kampuni haina tovuti au akaunti katika mitandao ya kijamii.
2. Barua pepe ya mwajiri haiendani na tovuti rasmi ya kampuni au shirika halali
3. Maelezo ya kazi yanatumwa kupitia 'WhatsApp', 'SMS', 'Telegram'
4. Maelezo ya kazi hayaeleweki na yana makosa herufi...