Leo wana lunyasi tujadiliane namna ya kunusuru timu yetu baada ya kuona sasa tunapokwenda sio kabisa,kulingana na mustakabali wa team yetu.
Simba ni team ambayo ilijizolea umaarufu mkubwa sana hapa barani Afrika na ulimwenguni pia,club ya simba ilishaanza kuwa tishio midomoni, masikioni mwa...