Wakati Jeshi la Polisi likikiri kumshikilia kada wa Chadema na mwanamitandao, Boniface Jacob maarufu ‘Boni Yai’, wakili wa chama hicho, Hekima Mwasipu amesema mteja wake amekosa dhamana.
Mwasipu amesema, Jacob anatuhumiwa kwa kosa la kusambaza taarifa za uongo na sababu za kukosa dhamana jana...
Wawili hao wamewekwa mahabusu kwa masaa zaidi ya 40 kwa kosa linalodaiwa kuwa Uchochezi na kuzua Taharuki.
Walikamatwa na Jeshi la Polisi kwa amri ya RPC Muliro ambaye ndiye mlalamikaji Mkuu , bado haijafahamika siku ambayo watafikishwa Mahakamani.
PIA SOMA
- Kamanda Muliro: Malisa GJ...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.