Kesi ya kusambaza taarifa za uongo kwenye Mtandao wa X inayomkabili wanasiasa mkongwe nchini, Dkt. Willibrod Slaa (76) itatajwa leo Februari 6, 2025 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam.
Dk Slaa anadaiwa kutenda kosa hilo chini ya kifungu cha 16 cha Sheria ya Makosa ya...
Dkt Slaa amedai kuwa Rais aliongea na Mbowe na akampa mzigo wa kumsaidia kushinda uenyekiti wa Chadema, watanzania wamesoma habari hizo, wameona, wamesikia na wanaambiana kwenye vijiwe vya kahawa, navyomfahamu Mhe.Dkt Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania sio mtu...
Mahakama Kuu ya Tanzania, masijala kuu jijini Dar Es Salaam imegiza shauri la mwanasiasa Mkongwe Nchini Dkt. Wilbroad Slaa lirejeshwe katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa ajili ya kushughulikiwa kwa dhamana yake.
Dkt. Slaa na jopo la mawakili wake walifungua shauri la mapitio la kesi yake...
Wakili Peter Madeleka amedai mahakamani hapo kuwa dhamana ni haki ya mtuhumiwa kifungu cha 148 (5) kimeweka masharti yanayoweza takapelekea mtuhumiwa kunyimwa dhamana .
Amedai kuwa Dk. Slaa amenyimwa dhamana kwa sababu alitengeneza Hakimu Mkazi Mkuu Beda Nyaki.
"Sisi maoni ni makosa kwa haki...
Wakuu,
Baada ya kukamatwa usiku wa kuamkia leo Januari 10, 2025 mwanaharakati Dkt. Wilbroad Slaa na kufikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar Es Salaam, dhamana yake imekwama kwa kile kinachodaiwa hofu juu ya usalama wake.
Akizungumza baada ya kutoka mahakamani hapo Rais wa Chama cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.