Dkt. Wilbrod Slaa Aachiwa kwa Dhamana Yenye Masharti Makali Leo Februari 7, 2025
Mahakama Kuu ya Tanzania leo imemuachia kwa dhamana Dkt. Wilbrod Slaa, baada ya kukaa mahabusu kwa zaidi ya mwezi mmoja. Dkt. Slaa anakabiliwa na shtaka la kusambaza taarifa za uongo kupitia mtandao wa X (zamani...