Kesi ya kusambaza taarifa za uongo kwenye Mtandao wa X inayomkabili wanasiasa mkongwe nchini, Dkt. Willibrod Slaa (76) itatajwa leo Februari 6, 2025 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam.
Dk Slaa anadaiwa kutenda kosa hilo chini ya kifungu cha 16 cha Sheria ya Makosa ya...