dhamana ya kombo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tanga: Mahakama yazuia Dhamana ya Kombo Mbwana, ataendelea kubaki Rumande

    Baada ya mvutano wa siku kadhaa kuhusu dhamana ya kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) mkoani Tanga, Kombo Mbwana, Mahakama ya Wilaya ya Tanga imeuhitimisha kwa kufunga dhamana yake. Uamuzi wa kufunga dhamana umetolewa Alhamisi, Septemba 5, 2024 na Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya...
  2. Tanga: Mahakama kutoa uamuzi kuhusu Polisi kuendelea kumshikilia Kombo Mbwana

    Leo Alhamisi, Septemba 5, 2024 ni siku nyingine ya matumaini kwa mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoani Tanga, Kombo Mbwana, anayekabiliwa na kesi ya jinai, kurejea uraiani kwa dhamana. Uamuzi huo unatarajiwa kutolewa na Mahakama ya Wilaya ya Tanga, kuhusiana na maombi...
  3. Sasisho: Kombo Mbwana wa Tanga akosa dhamana licha ya kutimiza masharti ya dhamani kama ilivyopangwa

    UPDATES KUHUSU KOMBO MBWANA TWAHA, TANGA TAREHE YA KUTAJWA KWA KESI Leo Kesi ya Jinai namba 19759/2024 ilitwa mbele ya Hakimu Mkazi Mwandamizi Mheshimiwa Moses Maroa wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Tanga kwa ajili ya kuja kutajwa (Mention) MASHITAKA DHIDI YA KOMBO Tarehe 16/07/2024 Kombo Mbwana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…