dhamira

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Dhamira ya Kuhakikisha Kila Mmoja Ananufaika na Huduma ya Intaneti Bado Inakwamishwa Sehemu Mbalimbali Duniani

    Serikali kwa kushirikiana na watoa huduma wanaweza kuzuia huduma ya kufikia mtandao kwa njia nyingi. Kwa mfano, serikali zinaweza kukata gridi ya umeme au kuhujumu miundombinu ya huduma ya mtandao kama vile minara ya simu za mkononi na kebo za fibre optic. Serikali pia zinaweza kuzuia ufikiaji...
  2. Dhamira njema ya Katiba Mpya ni kuwa na jopo jipya lisilohusisha Wabunge waliopo

    Salaaam! Kuhusu kuundwa katiba mpya serikali haina budi kutenda haki juu ya muundo wa jopo au kamati au bunge ambalo halitahusisha mbunge yeyote na wa chama chochote, katiba iundwe na wasiofungamana na siasa za uwakilishi wa kibunge na Baraza la wawakilishi. Ni matumaini yetu ya kwamba...
  3. CHADEMA: Tuna dhamira ya kushika dola 2025

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Mnyika amesema chama hicho kitahakikisha kinaimarisha majimbo yote ya Tanzania na Zanzibar ili kufikia dhamira ya kuiondoa CCM madarakani katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025. “Tuna dhamira ya kushika dola mwaka 2025, kutokana na...
  4. T

    Kigwangalla akumbushwe uanachama sio kadi bali dhamira na nia ya mwanachama kwa chama, Bashiru anavyo vyote

    Namshanga sana Dkt. Kigwangalla kumshambulia Dkt.Bashiru juu ya uanachama wake. Kama mwana chama wa CCM sijapendezwa na kauli yake kwa sababu CCM kinaamini kila mwanachama ni sawa na mwingine bila kujalisha ukongwe wake ndani ya Chama. Bila kujalisha alikuwa nani kabla ya kuwa mwanaCCM...
  5. Chama cha ujamaa na kujitegemea cuk(self reliance and socialist party SSP) na dhamira yake ya gawio la Rasilimali KWA kila mwananchi!je itawezekana!!?

    Baada ya katiba mpya kupatikana hiki ni Moja ya chama kitakacho sajiliwa kikiwa na dhamira njema ya kurudisha nguvu ya umma kwenye rasilimali zetu yaani wananchi wapate gawio la Moja KWA Moja la rasilimali zao kupitia akaunti za Benki na simu zao. Wadau wa uchumi mnadhani ndoto hiyo inaweza...
  6. Rais Samia: Marehemu Magufuli alinifundisha mambo mengi na dhamira yake niliielewa vizuri. Dhamira ni ileile

    Leo Rais Samia yuko mkoani Geita na ameendelea kusisitiza wembe ni uleule kama awamu iliyopita. ======= Rais Samia: Awamu iliyopita nilikuwa makamu wa Rais chini ya kaka yangu marehemu John Pombe Magufuli, alinifundisha mambo mengi sana, niliisoma dhamira yake vizuri sana jinsi ya kupeleka...
  7. Katika kukosoa na kushauri viongozi tuwe na dhamira njema, sio chuki, visa, ukanda au udini

    Nimefuatilia kwa miaka mingi sana, kuna ukanda unahisi unatengwa, hawajatoa rais, na wana kiu sana ya kupata rais wa kutoka ukanda wao. wamesahau wamewahi toa mawaziri wakuu wawili. Ukanda mwingine, wao wamepata bahati ya kupata mtu wa ukanda wa kwao aliyekuwa anawapendelea kwa kupeleka miradi...
  8. Manispaa ya Morogoro imedhamiria kukabiliana na hali ya uharibifu wa mazingira

    Kata ya luhungo katika Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro, imedhamilia kukabiliana na Hali ya uharibifu wa mazingira ulioonekana kuikumba kata hiyo ikiwa ni kiongozi mwa kata nne (4) zinazotegemewa kwa uhifadhi wa vyanzo vya maji vinavyopeleka maji yake katika bwawa la Mindu lililopo katika...
  9. Miezi sita bila Dkt Magufuli: Watanzania waliisoma na kuielewa dhamira ya Rais Magufuli iliyotiririka kama maji

    MIEZI SITA BILA JPM: WATANZANIA WALIISOMA NA KUIELEWA DHAMIRA YA RAIS MAGUFULI ILIYOTIRIRIKA KAMA MAJI. Leo 10:15hrs 19/09/2021 Rais John Magufuli, alikuwa Mzalendo mwenye mapenzi ya kweli kwa Nchi yake,hakuijua China,Marekani wala Ulaya toka achaguliwe, yeye ni Morogoro, Arusha, Iringa...
  10. K

    Tofauti kubwa ya dhamira baina viongozi wa Yanga na Simba ni hii hapa

    Ni kweli timu zote mbili kwa hivi sasa zinaendeshwa na wawekezaji wenye malengo binafsi zaidi tofauti na hapo awali walipokuwa pembeni wakisaidia kama wafadhili. Lakini ukifanya tathimini zaidi utagundua kuwa timu hizi mbili ambazo ni kubwa hapa nchini zina malengo tofauti kwa sasa katika...
  11. #COVID19 January Makamba: Kauli ya Askofu Gwajima kuhusu chanjo na dhamira ya Serikali haikubaliki

    Ndugu Gwajima ambaye anajiita Daktari (haijulikani ni Daktari wa nini na alisomea wapi), na ambaye mimi sitamuita Askofu , mbunge wa ccm wa jimbo la Kawe, jimbo ambalo rekodi ya kukamatwa kwa lundo la mabegi ya wizi wa kura yaliyolindwa na Lazaro Mambosasa, RPC aliyefurushwa haijavunjwa duniani...
  12. K

    Hatma ya GNU Zanzibar: Karama itaamua badala ya hekima, Chaguzi ndogo zinafichua dhamira

    Mada inahusika Hili la GNU ni mwiba kwa Watawala. CCM inawakwaza kuitekeleza Katiba inayotaka GNU, huku wakivurugana. Utekelezaji wake unategemea Karama na wala si Lazima. Hekima ni mwiko. Naam. Hii GNu ya Dk Mwinyi mwisho wake unaonekana kwa macho ya karibu. Nia njema au mbaya itaonekana...
  13. Hivi kweli Rais Samia umedhamiria kuleta maendeleo nchini?

    Kwa namna ulivyoteua ma-DC sioni kama uko serious. Nafasi ya u-DC inashuka hadhi kila kukicha, kwa sababu inaonyesha kila mtu anaweza kitu ambacho si kweli. DC ni mtu ambaye anatakiwa atoe dira ya maendeleo ya wilaya yake lakini kwa baadhi ya hawa uliowateua ni sawa na wapiga debe wa daladala...
  14. Maneno ya viongozi wa CHADEMA kukutana na Rais yanatia doa dhamira yao

    SHINIKIZO LA CHADEMA KUKUTANA NA RAIS LINATIA MASHAKA. Na Elius Ndabila 0768239284 Baada ya Mhe Rais kula kiapo Cha kuliongoza Taifa hili, Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia kwa Mwenyekiti wake Mzee Freeman Mbowe waliutangazia umma kuwa wamemwandika barua Rais ya kutaka...
  15. P

    Kuendelea na minyukano ni kutoielewa dhamira ya Rais Samia

    Na Philipo Mwakibinga Rais Mama samia amedhihiri kuwa anataka Tanzania yenye kiwango kikubwa cha Demokrasia, ambacho kinapimika kwenye viwango vya Kimataifa. Badala ya kujifanya hatujamuelewa sasa tumsaidie ili Tanzania ya Wote iwezekutamalaki. Niwakati muafaka wa kilammoja wetu kujivunia hili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…