Nimefika kwa wakala kwa lengo la kutoa pesa kutoka mtandao wa simu, anasema hana salio la kutosha. Wakati huo naona watu wengine wanatoa na wanaondoka.
Aliniuliza unatoa kiasi gani nikamwambia 3000/= ghafla akakunja sura na kusema hana salio.
Sasa kosa langu ni lipi hapo? Au hicho kiasi ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.