dharau

Dharau is a village in Kanpur Dehat district in the state of Uttar Pradesh, India.

View More On Wikipedia.org
  1. N

    TFF wawataja GSM kwenye post ya twitter huku wakiwadharau NBC

    Huu mkataba unaosababisha hadi CEO wa Simba kufukuzwa uwanjani na familia yake, huu mkataba unaolazimisha Simba avae nembo begani kwa milion 5 kwa mwezi ilihali anao ATCL na AFricarriers waliotoa buses 4 na hawako hata kwenye jezi ni wa ajabu sana. Mbaya zaidi ni kit supplier wa li team libovu...
  2. Nacheka kwa dharau, expand...Sukuma Kingdom is dying slowly and nicely

    Wasemao hamna marefu yasiyo na ncha hawakukosea. Leo tunaona majabali na magwiji wa Sukumagang a.k.a Sukuma gang wakiporomoka mmoja baada ya mwingine, kila mmoja kwa namna yake. msukuma alitangaza vita na Mchagga, mnyakyusa na akaungana na Mmasai. Leo Mmasai ana nongwa kibao, tayari kakalia...
  3. Wanawake acheni dharau

    [emoji117]Wanawake uwe umeolewa au upo katika mahusiano kutongozwa ni kawaida kwa mtoto wa kike coz sio wanaume wote wanajua umeolewa au upo kwenye mahusiano[emoji180] Makosa mnayofanya baadhi yenu ni kumdharau mpenzi/mumeo wako kisa umetongozwa na mtu anayemzidi KIUCHUMI! Tena wengine...
  4. Dharau zilivyoiponza Uganda, Mlipuko wa Bomu Kampala

    Jumanne 16, Novemba 2021, zilisambaa picha katika mitandao ya kijamii zikionesha mlipuko uliotokea katikati ya mji mkuu wa Uganda Kampala. Taarifa kutoka katika mamlaka nchini humo zimeeleza kuwa kilichotokea tukio la kujitoa mhanga katika maeneo mawili tofauti. Moja ya mlipuko huo ulitokea...
  5. Itakuwa dharau kubwa kwa Vijana wa CCM kama Rais Samia atamteua Bananga kwenye nafasi ya uongozi

    Itakuwa dharau isiyo mithilika kwa Vijana wa CCM ikiwa Bananga atateuliwa kushika nafasi yoyote ya uongozi hapa nchini Ikumbukwe kuwa CCM kuna vijana wengi wamekipigania chama tena kwa kushiriki maovu ili kukilinda chama chao ili mradi washinde kwenye chaguzi mbali mbali. Vijana hao walifanya...
  6. Utawala wa namna hii huwa 'nauchukia' na 'naudharau' mno

    Umeshasema kuwa mwisho wa Wamachinga kuwa maeneo wasiyotakiwa ni tarehe 18 Oktoba, 2021 kwanini tena msogeze Siku mpaka tarehe 30 au 31 Oktoba, 2021? GENTAMYCINE nachukia Watu (hasa Watawala) wasio na 'Misimamo' na wanakuwa 'Kigeugeu' katika ama Matamko au Mwamuzi yao. Kama mnadhani hii...
  7. Si vyema kumuita Rais wetu Tour Guide. Na hii picha kweli huyu Mzungu anaonesha dharau kubwa kwetu

    Sijui...kama nmekosea mtanikosoa. But tusifikie hatua hii ya mtu kuandika kuwa yupo na tour guide rais wa tanzania samia suluhu. Tena bila hata kuweka H.E kama vile anaongelea tu kitu cha kawaida.
  8. W

    Je, huu ni mwendelezo wa Serikali kutudharau Walimu Shule za Msingi?

    Nipo shuleni ofisini Mbele yangu Kuna mzigo mkubwa wa daftari za stadi za kazi darasa la tano ninazopaswa kusahisha Naangalia nje namuona mwalimu wa sekondari yuko bize kusimamia mtihani wa darasa la Saba Najiuliza kwanini nisisimamie mwenyewe mwalimu wa shule ya msingi? Je, Serikali...
  9. M

    Antonio Nugaz, ni saa ngapi unaenda kukinukisha Yanga SC baada ya kukereka na dharau uliyoonyeshwa?

    Mnajifanya kufichaficha wakati juzi Nugaz na Manara walijibizana vibaya na Mmoja Kutukanwa Tusi kubwa hadi likamlevya na Kuota kuwa kapata Ajali. Halafu na Wewe Comrade wangu kabisa Hassan Bumbuli acha kuwa Muoga na Mnafiki kwani tukiwa Kijiweni unawakandia GSM kuwa wanaiharibu Yanga SC ila...
  10. Kuwatumia "Mafundi" badala ya Wahandisi kwenye Ujenzi wa Vituo vya Afya na Shule ni dharau

    Hongera kwa kukusanya TOZO ya dhuluma, mnataka kujenga vituo vya Afya ambavyo "vilianza kujengwa" tangu enzi za JK....sina tatizo! Tatizo langu ni lile sharti kwamba "Ujenzi" ufanywe na wale mafundi wetu a.k.a Fundi Maikoz kwa kisingizio cha kupunguza gharama. Majengo ya serikali sio nyumba...
  11. Huyu fundi wa hizi sarakasi ni nani?

    Baada ya rais mstaafu Jakaya Kikwete kurudi tena madarakani kwa mara ya pili alifanya jambo ambalo lilishutumiwa sana. Alikusanya watendaji wa serikali karibia wote na kwenda kufanya semina elekezi kwenye hotel ya kifahari ya Ngurdoto mkoani Arusha. Kiuhalisia maudhui ya semina naweza kusema...
  12. N

    Kwa hili la Askofu Gwajima, IGP Sirro ana dharau sana

    Narudia tena IGP anadharau sana, unasema utaangalia namna wayamalize kwa amani? Gwajima si alisema kuna viongozi wamehongwa? mambo ya kuhongwa yanaisha vipi hujui rushwa kesi yake inaishaje? kwanini usiruhusu Gwajima aje awataje hao waliohongwa ili wahashughulikiwe kwa mujibu wa sheria...
  13. C

    Dharau ya CAF kwa Yanga walikuwa Pot 5

    Yes I said it, lowest ranked clubs ndipo utapu tapu au utopolo fc wana po belong ,vilevile karibuni sana team ya Nigeria tutawapa ushirikiano wa kutosha. Wachambuzi TAKATAKA kina Priva na kitenge watajifanya kama hawajaliona hili la utopolo kuwekwa kwenye kapu la team zenye viwango duni...
  14. B

    Rais Samia punguza dharau kwa unaowangoza, hazitokusaidia chochote

    Katiba yetu ya JMT pamoja na kupitwa na wakati inawatambua Watanzana kwamba ndiyo wenye nchi. Kwamba mamlaka zote katika nchi wenye kuziweka ni Watanzania. Sasa uhalisia wa hili na ubora wa mchakato wa kuwaweka watu kwenye mamlaka ni topic nyingine tofauti. Hivyo, kwa msingi huu Rais wa JMT...
  15. Usipokuwa makini Utapapaswa sana. Kila mtu atakupapasa. Watu wanajaribu wakiona hupingi kwa dhati wanaendelea

    Ndo wanaume tulivyo. Mwanamke usipokuwa makini watu wanaku test kidogo. Anakuja mtu anakukumbatia kuwa amekumiss siku mbili tatu hajakuona. Ukikumbatiana naye anashika kiuno. Kesho anakukiss shavuni ...unasema "bwana sitakiii usifanye ivooooo shauri yako..." Anacheka anaondoka. Keshokutwa...
  16. Rais Samia, wanakudanganya kuwa wapinzani wanakudharau kwa kuwa ni mwanamke

    Kwa kuangalia siku 100 za kwanza za Rais Samia Suluhu Hassan zilivyokuwa zimeleta matumaini makubwa kwa watanzania, katika kuijenga demokrasia na kuheshimu haki za binadamu, kwa namna alivyopiga U turn, katika siku chache zilizopita, ndipo hapo wananchi wanajiuliza, kimetokea nini tena kwa Rais...
  17. Kauli ya Mwigulu kuhusu Burundi ni hatari kwa Usalama wa Taifa. Serikali ijitenge nae!

    Mh Rais Mama Samia suluhu Hassan bado hujastuka tu kuwa mtu huyu ni hatari katika utawala wako? Waziri wako anadharau amri ya Rais ambayo jana tu asubuhi umemuagiza yeye mwenyewe atwambie kwamba umesikia manung'uniko yetu na kwamba umeziagiza wizara zikae zishughulikie malalamiko yetu wananchi...
  18. Freeman Mbowe atangaza kufanya Makongamano ya Katiba mpya nchi nzima, la Mwanza kufanyika wiki hii

    Mwamba mwenyewe Freeman Mbowe, Mtemi Isike ama Aboubakar Mbowe kama anavyofahamika huko Zanzibar, akiongea na Waandishi wa Habari Jijini Mwanza, ametangaza kuendelea kufanyika Makongamano ya ndani na ya amani ya Katiba mpya nchi nzima, huku lile la Mwanza lililohujumiwa likipangwa kukamilishwa...
  19. Tungekuwa na Katiba inayotaka Mawaziri wasiteuliwe, Mwigulu Nchemba angetufanyia dharau namna hii?

    Msomi wa hadhi ya Phd ya uchumi bila aibu anaongea mbele ya luninga ya taifa kuwa serikali ikilipa madeni kutakuwa na mzunguko wa pesa hivyo mzigo wa tozo za miamala ya simu utakuwa stahimilivu. Hii ni dharau kubwa. Mkandarasi akilipwa madeni na serikali kweli pesa inaingia kwenye mzunguko...
  20. Usipompa Mkeo/ Mpenzi wako pesa basi utasaidiwa na wanaojua kujali

    Wanaume acheni ubahili kwa wapenzi wenu ili kuepuka dharau na kuibiwa. Mwanaume usipompa mpenzi wako pesa au kumjali kwa vizawadi na care za hapa na pale basi jua lazima mkeo; 1} Akudharau 2} Awe kisirani kisichoisha 3} Ni rahisi sana kukucheat 4} Atakuchukulia poa Acheni ubahili mpe mpenzi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…