dharau

Dharau is a village in Kanpur Dehat district in the state of Uttar Pradesh, India.

View More On Wikipedia.org
  1. TANESCO wamekata umeme wakati Mwenge wa Uhuru upo katika mkoa wa Mwanza

    Tanesco acheni dharau kwa Rais Samia Leo katika mkoa wa Mwanza nimeona kitendo ambacho sio cha kiungwana na kinachoonesha dharau kwa mamlaka. TANESCO wamekata umeme wakati Mwenge wa Uhuru upo katika mkoa huu. TANESCO mnashindwa kutambua kwamba, mwenge unapopita sehemu au mkoa wowote ule ni...
  2. Mbowe na genge lako, mnamtisha Amiri Jeshi Mkuu akitumia madaraka yake muanze tena kulalamika?

    Wanaukumbi, Hakuna Mtanzania mwenye akili timamu asiyetambua umuhimu wa Katiba Mpya; tunapishana sehemu ndogo sana ‘timing’ na vipaumbele vya kitaifa kwa sasa viwe ni 1. Katiba Mpya au kupambana na 2. Janga la Corona na 3. Kuinua Uchumi na hali za wananchi masikini? Sisi Watanzania tumechagua...
  3. Watanzania kabla ya kuanza mradi wa Bandari ya Bagamoyo tafuteni Articles za 'Lesson from Sri Lanka Hambantota Port'

    Watanzania kabla ya kuanza huo mradi wa Bandari ya Bagamoyo naomba tafuteni Articles za LESSON FROM SRI LANKA Hambantota port. Kama hizo article umezipata please tunaomba uzishare ndani ya huu uzi. Wabongo mnataka mjidai mnawazidi akili wa Sri Lanka ninyi. Tunataka siku mkianza kulia tulie...
  4. Uteuzi wa Dr Mashinji ni kama kushushwa thamani

    Uteuzi wa Dr Mashinji Katibu Mkuu mstaafu wa CHADEMA kuwa DC ni kama kushushwa thamani. Ikumbukwe Dr Slaa alizawadiwa Ubalozi baada ya kuasi chama.Hii iliinyesha namna Serekali ilivyomchukulia Dr Slaa na pia uzito wa nafasi aliyokuwa nayo. Dr Mashinji kuzawadiwa ukuu wa Wilaya sawa na akina...
  5. Dkt. Mwigulu Nchemba, acha kuwadharau Watanzania kwa kauli hizi

    Kuna maneno yanatrend mtandaoni kua Mwigulu anasema kwamba hahitaji kupendwa na wengi wapigakura wake wanatosha kumpenda. Hii ni baada ya bajeti yake kuzua taharuki kubwa kuhusu kuongeza tozo kwenye miamala ya line simu.Anadai kua yeye amependekeza bajeti ili mambo yaende hajali watu wanaumia...
  6. Dhihaka na dharau kwa viongozi wa dini na anguko la Serikali ya Awamu ya 5

    Nikimnukuu mwanajamvi Pythagoras ktk comment yake: [Askofu Emmaus B. Mwamakula alikamatwa wiki ya mwisho ya mwezi Februari. Mapolisi wa Jiwe wakamdhihaki eti "Yule anayejiita Askofu" tunamhoji. Niliposikia vile nikajua sasa Meko ame cross red line. Meko Hakumaliza hata wiki mbili tena...
  7. Panapo kipato hakuna mwanamke mwenye dharau

    MWAKA 2019 JAMAA: Kaka Miyeyusho habari? Naitwa Nassoro, samahani naomba unishauri. Nina mchumba wangu nampenda ila yeye anipendi, mara kadhaa ameniambia tuachane ila nambembeleza tunarudiana. Ila sasa naona kawa kweli na maamuzi yake, wiki sasa kila nikimbembeleza ananiambia hanitaki. MIMI...
  8. Ni jinsi gani unaweza kuishi na mwanamke bila kukwaruzana au bila kupata stress?

    Hebu tusaidie wana ndugu kama mnavyojua wanawake ni watu wa vitimbwi, visa, dharau, vituko na maneno ya karaha yaani kuishi nao inahitaji akili sana lakini hebu leo hii tusaidiane ni njia ipi bora ya kuishi na mwanamke kwa akili bila kukwaruzana nao. Maana kuna wengine watakwambia uishi nae...
  9. Polisi wakamata gari lililokuwa na mizoga ya ng'ombe machinjio ya Tegeta

    Polisi jijini Dar es Salaam wamelikamata gari lililokuwa na mizoga ya ng'ombe katika machinjio ya Tegeta. Kilichopelekea Polisi kufanya msako katika machinjio hayo ni taarifa waliyopewa na wasamaria wema walioshtushwa na harufu kali ya uozo kutoka eneo hilo Habari za awali zilizopatikana katika...
  10. N

    Hizi ndo dharau ambazo hatupendi Wanasimba: Mo Dewji kaaa mbali na picha za Zimbwe

    Nilijua tu mwisho wa yote watajinasibu kwamba wao ndiyo wamefanikisha sasa ikitokea Mo kapiga naye huyo kijana wao niseme boss wao anayewapa hela yaani Mohamed Hussein Zimbwe Junior captain msaidizi aliyeamua yeye na wapambe wake kutumia vurugu na lugha za maudhi ili kuongezewa mkataba. Please...
  11. Ulishawahi kukataliwa kwasababu hukuwa na kitu kisha ukaja kukubaliwa baada ya kupata?

    Sababu mbalimbali, Anakukataa kwa dharau Sana, kwa sababu anakuona tu kwamba huna chochote kwa wakati huo kwa sababu huna tabia za kujiinua. Lakini baada ya siku kadaa anagundua kwamba uko vizuri,anaaza juhudi za kutaka kukukubali. Anakukataa kwa sababu huna kitu kwa wakati huo kwa sababu...
  12. Kitendo cha viongozi wa CHADEMA kupuuza kushiriki kongamano la dini ni aibu na fedheha kwa chama chao

    Wadau, Recalling back to Kongamano lililoandaliwa na viongozi wa dini zote (wakristu/wakristo na waislamu), Kongamano ambalo pamoja na mada na jumbe mbali mbali zilizowasilishwa, lakini pia ilikuwa na mada moja kuu ambalo ilikuwa ni Kumshukuru Mungu kwa ajili ya maisha ya Hayati Dr. John Pombe...
  13. Ushawahi kuchukuliwa poa na mtu halafu akakuta sivyo kama alivyokudhania?

    Kwanza naomba 'nidiclee' kwamba mm ni mmoja wa ME ambae si mtu wa fashion, yani mimi sijui kuvaa kabisa na sina hiyo passion ya pamba pamba. Nishawahi kusemwa sana na ma-ex wangu kuhusu uvaaji wangu lakini haikusaidia kitu. Sasa weekend iliyopita nilienda sehemu moja flani hivi amazing, chimbo...
  14. Fahamu aina ya mwanaume wanadharauliwa wanawake zao

    1.Mwanaume ambaye anasubilishwa kupewa papuchi hadi wafunge ndoa wakati anafahamu binti aliyenae sio bikraaa 2.Mwanaume aliyeoa au kufunga ndoa na mwanamke ambaye ametolewa bikra na mwanaume mwingine 3.Mwanaume ambaye anaishi na single mother kama mkewe alafu kila mwisho wa mwezi mkewe...
  15. S

    Kufutwa kwa ujenzi wa bandari ya Bagamoyo ni dharau kwa Rais Kikwete na watu wa Pwani

    Kufutwa kwa mradi wa ujenzi wa bandari ya Bagamoyo ni ujumbe wenye taarifa kamili kwamba awamu ya tano inadharau mipango na miradi mizuri iliyoanzishwa na awamu ya 4. Lkn pia, hatua hii inaua ndoto na matumaini ya kupunguza umaskini kwa watu wa Pwani kupitia mradi huu ambao ulipambaniwa na...
  16. Wanaume wa kiluguru tunadharaulika sana

    Imekuwa sasa desturi kwa jamii kwa ujumla hasa wanawake wa Kanda ya Kaskazini (Kilimanjaro, Manyara na Arusha) kuonyesha dharau za waziwazi kwa sisi Waluguru eti kisa kimo/height yetu kwa taarifa tu sisi Waluguru ni watu wenye mapenzi ya dhati na ni watundu sana kitandani hakika ukipata mluguru...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…