Kwa kweli ndugu zangu wa Tanzania, haya ni mambo ambayo yanasikitisha na kuonyesha hii nchi haitujali kwa dhati (Unaweza ongeza yako) :
1. Hivi inawezekanaje ni agenda serious Kabisa kwamba watu tufunge Mikanda (Jambo jema sana), Lakini kuna Magari ya abiria yenye leseni, Bima, safe sticker na...