Wanabodi,
Wakati mchakato wa Bunge la Katiba unaendelea, kumezidi kuibuka mijadala mikali, kuhusu serikali 3 zilizopendekezwa na Tume ya Warioba au kushikilia serikali mbili ambayo ndio sera ya chama tawala, Chama cha Mapinduzi, na tayari wachunguzi wa hesabu za uwiano wa kuwianika...