Kumekucha
Dmitry Medvedev Mkuu wa Baraza la Usalama wa Taifa la Russia ametahadharisha kuwa, oparesheni ya nchi kavu ya Israel itafuatiwa na taathira nzito na za umwagaji damu.
Shirika la habari la IRNA limeripoti kuwa, Dmitry Medvedev leo Ijumaa ameandika katika mtandao wa Telegram kwamba...