dhihaka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pre GE2025 2025 watanzania watakuwa na kazi ya kulinda hadhi ya "mama", katika kila hotuba zake, Lissu amekuwa akiongea kwa dhihaka kubwa kuwahusu

    Katika historia ya nchi hii, sijawahi kuona mtu anayekebehi, kudharau, na kutoheshimu hadhi ya mama kama Tundu Antipas Mughwai Lissu. Ukimdharau mama mmoja, umedharau mama wote nchini na duniani. Shime, uchaguzi wa 2025 uwe wa kuwaheshimiaha mama zetu dhidi ya ubaradhuli huo
  2. Acheni dhihaka, Taifa halistawi kwa kuombewa. Taifa linastawi kwa kupanga mikakati na kuitekeleza; kuacha rushwa na ufisadi

    Itokee siku moja Rais aende uwanja wa Taifa ili kukusanya maoni ya Watanzania juu ya mustakabali wa Taifa lao. Kutwa nzima tujadili ni namna gani umaskini na ufukara ukomeshwe. Tujadili ni namna gani wizi na ufisadi katika utumishi wa umma ukomeshwe. Tujadili mustakabali wa elimu yetu na afya...
  3. Monalisa ahitimu Chuo Kikuu licha ya kupitia dhihaka na kejeli kisa umri

    Yvonne Cherrie, msanii maarufu wa filamu, Monalisa, ameweka historia baada ya kuhitimu Chuo Kikuu katika fani ya Usimamizi wa Biashara na Miradi, licha ya changamoto za dhihaka na kejeli alizokumbana nazo kutokana na umri wake. Monalisa, ambaye alikuwa miongoni mwa mwanafunzi waliokula chumvi...
  4. Kusifu Viongozi Kupita Kiasi: Je, Ni Heshima au Dhihaka?

    Katika utamaduni wa Kiafrika, kuheshimu viongozi ni jambo la muhimu. Hata hivyo, katika miaka ya hivi karibuni, kumekuwa na ongezeko la tabia ya kuwapongeza viongozi kupita kiasi, hata wakati hawastahili. Je, hii ni kweli heshima, au ni dhihaka isiyo na maana? Utamaduni wa Kiafrika umekuwa na...
  5. S

    Mwenyekiti UVCCM Taifa apingana na Amos Makalla kuhusu kutoa pole kwa CHADEMA kufuatia kifo cha Ali Kibao

    Wakati katibu wa itikadi na uenezi akitoa pole kwa wanachadema na watanzania kwa ujumla kufuatia kifo cha ndugu Ali kibao, Mohammed Ali Kawaida ameendelea kushikilia msimamo wa mwenyekiti wake kuwa utekaji na vifo vya wanachadema ni drama tu, na hata kifo cha Ali Kibao ni drama . Kawaida...
  6. Haji Manara acha Dharau na Dhihaka kwa Ali Kamwe kwani hata Kitaaluma tu kakuacha mbali mno na Yanga SC imefaidika nae 'Kibrandi' kuliko ulivyokuwepo

    DAR ES SALAAM - Msemaji wa zamani wa klabu ya Yanga, Haji Manara amesema haoni shida kurejea yanga kwa kuwa kazi yake ni ya Usemaji na aliyepo ni Afisa Habari. “Hii sio mara ya kwanza. Nilikuwa na Bumbuli pale na hakua rafiki yangu ingawa tulikuwa wote tunafanya kazi,” amesema Manara wakati wa...
  7. Kwa mpira wa jana wa Tanzania sitaki kusikia tena dhihaka kwa Simba na story za papatupapatu

    Jana Tanzania imefuzu kwenda AFCON baada ya kutoka suluhu na Algeria. Imekuwa ni desturi iliyojengeka mitandaoni na vyombo mbalimbali vya redio kuisema vibaya Simba hata pale inapopata matokeo yaliyo katika malengo ya timu. Hili halijaanza msimu huu tu, tukirudi hata msimu uliopita hizi...
  8. Kenya: Waislamu wadai ni dhihaka IGP kupiga marufuku maandamano yaliyoruhusiwa na Katiba

    Taasisi ya Waislamu kwa haki za binadamu(MUHURI) imesema ni dhihaka kwa watu wa Kenya na sheria zake kwa Inspekta generali wa Polisi, Japhet Koome kuhutubia kupitia vyombo vya habari vya Kenya na kusema maandamano yaliyopangwa na Azimio yamepigwa marufuku kwa kiburi. MUHURI imemkumbusha IG...
  9. Nagafirika kwa kejeli, dhihaka na matusi ya member mpwayungu dhidi ya walimu wetu

    Peace be upon you all, Jamii yetu imekua na vijana wa ajabu sana case study ni kijana humu jf kwa id ya mpwayungu village na kama huyu member ni mzee basi ni mzee mpumbavu. Kumekua na desturi ya kudharauliana hadharani na kwa baadhi ya watu huona fahari kudharau na kudhihaki wengine mfano ni...
  10. TUCTA: Kuongea mshahara elfu 8 ni dhihaka

    TUCTA kama wapo serious hivi. Wakishindwa kuongeza tunaandamana. --- Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (Tucta) limeeleza kutoridhishwa na nyongeza ya mshahara huku wakieleza tofauti kubwa ya nyongeza baina ya daraja la juu walioongezewa kwa asilimia 0.6 na wale wa daraja la chini...
  11. Ghafla chuki na dhihaka dhidi ya waalimu zimeongezeka mitandaoni na mitaani, chanzo ni nini?

    Huenda labda mambo ni mengi au yako kasi kupita maelezo mpaka yamenipita au nimeshindwa kuyaelewa. Hili la kuibuka ghafla mitandaoni na mitaani, chuki na dhihaka dhidi ya waalimu bado sijalielewa kabisa. Nimehisi huenda labda limeletwa na mojawapo kati ya haya mambo mawili lakini bado sioni...
  12. Jitahidini mkishafanikiwa Kimaisha muache Dharau, Kashfa na Dhihaka kwa 'Hustlers' tuliojazana Tanzania sawa?

    "Miaka ya sitini, miaka ya sabini na miaka ya themanini vijana walikuwa wanahudumia wazee na watoto. Hali haiko hivyo sasa. Kwa sasa, wazee ndio wanahudumia vijana na watoto wao" - @mwigulunchemba1 Chanzo: EastAfricaRadio Nijuavyo ni kwamba hakuna Kijana ambaye anapenda Kutowajali Wazazi au...
  13. Rais Samia: Awamu ya 5 heshima iliyokuzwa ni ya uoga kwa sababu kulikuwa na Simba wa Yuda, ukimgusa sharubu anakurarua, hatukukua kivile

    "Tunasifiwa kwamba adjustments [maboresho] tuliyoyafanya awamu ya tano kidogo zimekuza heshima ndani ya utumishi wa umma. “Heshima iliyokuzwa ni ya woga kwa sababu kulikuwa na Simba wa Yuda, ambaye alikuwa ukimgusa sharubu anakurarua. Lakini hata hivyo hatukukua kivile, heshima inayotakiwa iwe...
  14. "Nimekosa sana, Nimekosa Mimi" - Hii ni dhihaka kwa Kanisa Katoliki na wana-CCM. Ingawa ni udhaifu wa Bunge, tutafika tu

    Nukuu ya Prof Assad wakati akiwa CAG "Kama Bunge linashindwa kusimamia serikali huo ni udhaifu wa Bunge". CAG Assad aliitwa na Ndugai kibabe Bungeni ajieleze Swali la Pascal Mayalla: Je, Bunge linatumika kama muhuri au rubber stamp kupitisha mambo ya serikali? Pascal Mayalla aliitwa Bungeni...
  15. Kesi ya Kubenea dhidi ya Makonda ni dhihaka, fedhea na 'kichekesho' kwa Ofisi ya DPP na Serikali kwa ujumla

    Si jambo la kulikalia kimya. Lazima niseme ukweli juu ya jambo hili. Ukweli wa heri na si wa shari. Ingawa ni jambo linaloruhusiwa kikatiba na kisheria kuwepo kwa uwezekano wa mtu binafsi kumshtaki mwingine kijinai, masuala yote ya kijinai yapo chini ya Ofisi ya Mashtaka ya Taifa iliyo chini ya...
  16. Shemeji; Maneno yako ya dhihaka nimeyasikia

    SHEMEJI; MANENO YAKO YA DHIHAKA NIMEYASIKIA. Kwa Mkono wa, Robert Heriel. Kwanza nikuambie tuu hapa nilipo nina shahada ya juu kabisa katika Chuo Bora hapa NCHINI, Elimu yangu sio ya kubahatisha japo unaniona ninaishi maisha ya Ndege Kwa sasa lakini tambua CV yangu kielimu ni wachache...
  17. Tozo za Miamala: Serikali yapunguza viwango kwa 30%. Watoa huduma za simu waridhia kupunguza 10%

    Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba amesaini marekebisho ya Kanuni za Tozo za Miamala ya kutuma na kutoa Fedha na kupunguza viwango vya tozo kwa 30% Pia Serikali imejadiliana na watoa huduma za simu ambao nao wameridhia kupunguza viwango vya tozo wanazotoza kati ya mtandao na mtandao mwingine kwa...
  18. Huyu fundi wa hizi sarakasi ni nani?

    Baada ya rais mstaafu Jakaya Kikwete kurudi tena madarakani kwa mara ya pili alifanya jambo ambalo lilishutumiwa sana. Alikusanya watendaji wa serikali karibia wote na kwenda kufanya semina elekezi kwenye hotel ya kifahari ya Ngurdoto mkoani Arusha. Kiuhalisia maudhui ya semina naweza kusema...
  19. Mwanamke mnayefanya kazi ofisi moja anakutangazia mabaya kwa wenzake usipomtongoza

    Huyu mwanamke tulimuheshimu sana hapa ofisini (alikuwa secretary wetu) yaani lunch na break fast tunamtoa karibuni kila siku sisi wanaume tofauti tofauti na hakuna alie mtongoza maana yeye kwanza ni mke wa mtu tunamheshimu na sisi bado ma single . Sasa yeye kahamishwa kitengo kapelekwa ofisi...
  20. Jaji Mutungi: Vyama vya siasa vifanye siasa kwa kuheshimu sheria za nchi, kuepuka lugha za uchochezi, dhihaka, dharau, vitisho na matusi

    Msajili wa Vyama vya Suasa nchini ameviasa vyamna vya siasa nchini kufanya siasa za kistaarabu na kuvumiliana.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…