nakumbuka siku moja nimetoka singida naenda manyara kwa baiskel ilikuwa ni masika,
nikiwa katikati ya mbuga ilikuja mvua ya ghafla ambayo sikuitarajia kurudi nyuma ni mbali na ninapokwenda ni mbali ikabidi nikomae tu hivo hivo basi bhana,
baiskel ikabana matope kwenye madgad ikawa haitembei...