dhuluma haifai

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Jack Daniel

    Hakuna kitu kinauma kama hiki kitu, dhuluma haifai

    Yaani unamdhulumu ama kumtapeli mtu kiasi fulani cha pesa,kiwe kikubwa au kidogo,halafu hakupeleki mahakamani,halafu hakumbushii tena deni analokudai. Halafu mambo yake biashara zake zinaenda kama kawaida na ana shine,kibaya zaidi wewe hiyo hela haijakufikisha popote,imezidi tu kukupotezea...
Back
Top Bottom