dhumuni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tlaatlaah

    Nini dhumuni la video na picha za utupu?

    Achilia mbali kwajili ya kuuza upate pesa au hata kama huzitumii, lengo na madhumuni ya kurecord video na picha za utupu na kuzihifadhi kwenye simu au laptop yako nini hasa? Ili iweje unazitunza? Nini hasa kinachochea ujichanue kwa hiyari yako au uchanuliwe na mwenzi wako sehemu za siro zikae...
  2. Chachu Ombara

    Nini dhumuni la Serikali kuanzisha tahasusi hii ya biashara ikiwa na somo la 'Islamic Knowledge'?

    Serikali kupitia TAMISEMI imetangaza ongezeko la tahasusi mpya kadhaa ambazo vijana wetu watatakiwa kusoma, nimeona nyingi haziridhishi labda zimewekwa kimkakati. Moja ya tahasusi, si kwa ubaya, ila nadhani wengi tungependa kufahamu kuhusu hii combination mpya ya Biashara inayojumuisha masomo...
  3. Itug

    Mwalimu Commercial Bank (MCB) ilianzishwa kwa dhumuni gani?

    Hii bank viongozi wa chama cha waalimu, TSC na wahusika wengine wengi, walikuwa na dhumuni gani kuianzisha? Waalimu walikuwa na vyama vta kuweka na kukopa na vilikuwa(hata sasa vipo) kisheria kabisa! Nimejaribu kufuatilia nikakuta wana matawi matatu Dar Es Salaam, mengine ni Mwanza, Morogoro na...
Back
Top Bottom