Hii bank viongozi wa chama cha waalimu, TSC na wahusika wengine wengi, walikuwa na dhumuni gani kuianzisha? Waalimu walikuwa na vyama vta kuweka na kukopa na vilikuwa(hata sasa vipo) kisheria kabisa!
Nimejaribu kufuatilia nikakuta wana matawi matatu Dar Es Salaam, mengine ni Mwanza, Morogoro na...