Habari wakuu, Nina diagnosis scan tool aina ya LAFOCH ML-168 kwa ajili ya Magari ya Ulaya mf: BMW, Benz, Audi na Volkswagen, au gari yoyote Kama Nissan, Toyota ambayo ni imported from Europe
Kifaa hiki kinamfaa mtu kwenye gari lake binafsi ili akipata changamoto aweze kutrace tatizo mwenyewe...