Msanii wa Bongo Fleva, Harmonize, amemuomba msamaha Diamond Platnumz kwa tofauti zilizowahi kutokea kati yao. Kupitia Insta Story yake, Harmonize ameandika kuwa anatumia mwezi mtukufu wa Ramadhani kuomba msamaha kwa yeyote aliyemkosea, akisisitiza kuwa hana tena nafasi ya kutoelewana na mtu...